Sioni logic zaidi ya kukurupuka kwako, soma kwanza hilo ndio tatizo la kukariri ukiambiwa msome muelewa mnaleta uzungu.
Unapenda kupima maji ila mimi sio size yako dogo , jitahidi sana uwe na akili ulichoandika hapo ni zero hata kutenganisha sentensi bado .Utumishi umeingia juzi ila unaleta ushamba . 😀 😀
Fuatilia nime-reply kwa uzoefu wangu , sasa unakuja hata ueleweki unachoongea , ulichoandika hapo paraghaph zote ya kutengenisha ulikuwa na maana , kiufupi hauna hoja unapiga tu kelele.!
Umeajiriwa mwaka jana tena ila unaleta ubishi wa kishamba ndio tatizo , hilo suala la kuomba sijawahi kuona ndio nasikia kwako .Hata Tamisemi wao wanaomba kibali cha ajira wao kwanza wewe unaajiriwa kibali klishaombwa na viongozi wa Tamisemi , wewe unaajiriwa tu ukiwa tayari kibali chako kinatambulika .
Uombe kibali moja kwa moja wewe kama nan?
Usirudie ku-reply comments zangu mpaka uwe na akili timamu.
Kwamba unauliza swali kua "uombe kibali moja kwa moja we nani? 😂😂 muulize hilo swali Katibu mkuu ndo maana nakwambia hujui sasa sheria inasema hivyo then unaniuliza mimi waulize waliotunga sheria maana mpaka leo likizo yako anapitisha mwajiri wako sasa siwez kukuliza kua Likizo yako anapitisha mwajiri ye nani? Ni sheria imewekwa sasa narudi kukupa shule maana una experience ila we ni kilaza umetoboa kwenye mambo yako sawa ila umeonesha kua ni kilaza tu sikia
Huu ni waraka wa Serikali number EA 45/257/01/49 wa mwaka wa 2006 ikiwa ni mabadiriko ya sheria ya uhamisho wa watumishi baina ya waajiri soma Kipengele number 6. ( a)
6.
Kwa watumishi ambao wanazo sababu za kuruhusiwa kuhama zikiwemo kushinda usaili wa nafasi za kazi, kuwafuata wenzi wao wa ndoa a uwenye.-sababu za kiafya,
waajiri wao au watumishi wenyewe wanatakiwa kuwasilisha maombi ya uhamisho katika ofisi hii kupitia kwa waajiri wao yakiambatana na:-
Ushahidi wa kuwepo kwa nafasi ya
kazi iliyotengewa fedha kwa mwaka wa fedha husika kutoka kwa mwajiri aliyekubali kumpokea. Nafasi hi inaweza ikatokana na kibali cha ajira mpya/mbadala au mtumishi aliyekuwepo kuhitimisha utumishi wake kwa kustaafu, kuacha, kufukuzwa kazi au kufariki ambapo ni lazima kuainisha jina la mtumishi huyo, cheo, C/No. sababu na tarehe ya kuhitimisha utumishi
Ufafanuzi: kuna maneno nime bold hapo yanasema
waajiri wao au watumishi wenyewe wanatakiwa kuwasilisha maombi ya uhamisho katika ofisi hii kupitia kwa waajiri wao
Maana yake Sheria imeruhusu mtu mwenyewe ku initiate transfer kwenda kwa katibu baada ya kupata nafasi iliyowazi au ajira kwenye taasisi nyingine hivyo swala la kuuliza mtumishi ana initiate yeye kama nani hilo sio langu ni kwa mujibu wa sheria na kwenye ya kisheria nimekuonya toka mwanzo acha kuleta soga na vigoma buza hii ni sheria na kuna facts zake FULL STOP
NAENDELEA
Kuna comment moja ulisema kua baada ya kupata kazi kwenye taasisi flani ukaenda ku report na HR ndio akaanza mchakati wa kukuombea kibali na kwamba kwa kipindi chote hicho hukurudi kwenye kituo chako cha zamani (yaan uli report na kuanza kazi moja kwa moja badala ya kurudi kwanza kituo chako cha zamani ili usubiri majibu ya kibali chako cha uhamisho [ ambavyo ndivyo sheria inavyotaka]
Sheria hii hii kifungu cha 7 inasema
7. Mwisho, ninapenda kusisitiza kuwa watumishi ambao maombi yao yatakuwa yamewasilishwa katika ofisi hii wanatakiwa kuwa katika vituo vyao vya kazi wakiendelea kufanya kazi wakati maombi yao yakishughulikiwa badala ya kupoteza muda kufuatilia maombi yao. Barua za uhamisho zitatuma kupitia kwa waajiri wao na katu hawatapewa mkononi.
Mwisho nikwambie tena kwamba usilete story za buza na experience uchwars unapozungumzia au ku refer kwenye mambo ya kisheria ambayo yana taratibu zake. Msomi anatakiwa ku argue na facts sio empty head unauliza eti mtumishi ana initiate kama nani? Haya nimekuletea sheria nime screenshot hapo somaa maana ndo hivyo the empty head is a burden to the body!