Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

Ikiacha kuwa shirikishi chini ya mfumo wa kidemokrasia, basi siyo huru. Sijui ni kitu gani huelewi?
 
Wamekutuma uwasemee huku au wewe ni mmjawapo.Slowly amekutanguliza na wewe ujuha wako unakwenda tu.Hizi bukubuku hizi utasema na cha chumbani mwako.
 
Wanabodi hili ni bandiko la 2015

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi, kwanza angalieni tarehe ya bandiko hili, kisha angalia hoja No. 4, 5, 6, 7 na 8 za bandiko hili, kisha sikiliza kilichozungumzwa jana Bungeni Dodoma kuhusu hoja hii.

Mambo yenyewe ndio kama haya!, halafu watu humu mkiambiwa CCM itatawala milele!, mnabisha!. Haya endeleeni kubisha!.

P
 
Unajua kila kitu ila unajichetua akili.
 
Tunachohotaji Tanzania ni utawala unaofuata sheria, na sheria zilizopitwa na wakati kufanyiwa marekebisho. CCM imeshindwa kufanya jambo hili .
Mkuu Dada yangu Sikai Ekilati, Sky Eclat , suppose hayo usemayo ni kweli kuwa CCM imeshindwa kutawala kwa utawala unaofuata sheria, na kukumbatia sheria zilizopitwa na wakati bila kufanyiwa marekebisho. Swali ni jee nani ndio mbadala wa CCM?. Kwa vyama hivi vilivyopo, ni chama gani kimeonyesha maturity, ability, capability na credibility, ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu, kiendeshe nchi?.
NB. Ikulu sio sehemu ya kufanyia majaribio!.
P
 
Mwaka 1954 wakati TANU inaundwa , Waingereza waliopona kama ni genge la wahuni.
Lakini TANU ilipata ridhsa ya wananchi kuongoza nchi na imetuongoza mpaka leo.

Chama kitakachoshinda uchaguzi kihalali kikabidhiwe madaraka. Afya ya siasa ni vyama kubadilishana madaraka. Chama kimoja kikiwa madarakani muda mrefu Kuna ouzo mwingi utafichwa utakao gharimu taifa pakubwa huko baadae.
 
Upumbavu wako na njaaa zipeleke huko huko kw mkee wako aliyekukimbia miaka tele huko marekani.. usitulete ujinga wako..bava zima linaongea utopolo...
 
Genge la wahuni limetuongoza hadi leo
Ahsante sana
 
Sasa hivi umeamua kweli kweli na unatekeleza maelekezo ya Bashiru na chama. "Milioshindwa kura za maoni wasaidieni wezenu washinded kuna nafasi nyingi baada ya kushinda", and for sure Bashiru is counting your posts here, ukuu wa Wilaya 100% upo. That is how even those educated can be slaves!
 
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!
 
Kutawala milele ? C'mon hivi Paskali wewe ulivyokua mdogo si ulitamani ukue kwa kimo na umri upate hadi mvi? Sasa kwa nature ya binadamu lazima upate mabadiliko siku hadi siku miaka hadi miaka mambo ya milele hayo sjui labda iwe ni ufalme ila naamini iko siku ccm itaondoka madarakani walikuwepo zaidi ya ccm nao waliondoka mark this iwe wewe au mimi tusiposhuhudia basi kuna watakaokuja kushuhudia hili
 
Kumbe nyie no wajinga hivi. Je hamjui yupo mmiliki Wa milele?. Naam asema Bwana..nami nitawashusha wenye enzi kutoka kwenye viti vya enzi!!! Bado Nina imani nyakati na wakati no zake Bwana!!!
 
Umilele niliouzungumzia hapa ndio huu tunaoundeleza leo kupitia kwenye uchaguzi mkuu huru na wa haki
jee leo nitakuwa proved wrong?, CCM inaondoshwa au inaendelea milele?.
P
 
Huu ndio ukweli, kaka leo nimekuelewa ... post zako hasa za majarida ya The economist nilikuwa sikuelewi huwa unasimamia upande upi,, Sasa tutaenda sawa 💯💯
 
Baada ya Upinzani kushinda Zambia, najua kuna Watanzania wengi na haswa wapinzani na wapenda mabadiliko, watafurahia matokeo ya Zambia kwa imani na matumaini kuwa hiki kilichotokea Zambia, "if it can happen in Zambia, then one day it can also happen in Tanzania". Hivyo na Tanzania kuna siku Upinzani utashinda, uchaguzi, kutangazwa na kuongoza nchi. Naomba niwaandae kisaikolojia, "Zambia is Zambia na Tanzania ni Tanzania" Kwa Tanzania, sisi bado sana, maana ni kama hatuna any serious opposition ya kuikabidhi ikulu yetu, hivyo CCM itatawala mile...!, naomba nisimalizie- Pasco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…