Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,377
Tangu umeitwa kuhojiwa ukapotea kabisa apa jukwaani lakin tangu umerudi umekua sio wew wa kipindi kile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ethiopia ilikuwa taifa tangu enzi na enziMataifa hayo ni ya asili. So kama yetu ya kutengeneza. Wenyewe 50s walikuwa tayari ni mataifa yenye miaka lukuki.
Wanabodi,
Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku zote ndio husimama mpaka mwisho. Kali ya rais wetu Dr. John Pombe Magufuli, kuwa "CCM itatawala Milele " ni kauli ya ukweli kabisa kuwa ni ukweli halisi na ukweli bayana, katika mazingira ya sasa ya nchi yetu na uendeshaji wa siasa za vyama vingi, kama hakuna kitakachobadilika, then rais Magufuli yuko very right kuwa CCM itatawala milele!.
Moja kati ya sifa kubwa za rais Magufuli, ni kusema ukweli Daima tena bila kukopesha, wala kurembaremba, japo kuwa mkweli sana sometimes sio nzuri sana kidiplomasia katika baadhi ya maeneo, ambapo diplomasia hutumika, haya mambo ya diplomasia ndio yametufikisha hapa tulipo, sasa ili tutoke hapa na kusonga mbele kimaendeleo, Watanzania ni lazima tujifunze kuubali ukweli jinsi ile ulivyo, bila kurembwa rembwa. La CCM kutawala mimi ni ukweli mtupu.
Kuna wengi wanadhani siasa ni kupiga blah blah tuu, hivyo kwao, kila kinachosemwa na wanasiasa, wanakiona kama ni blah blah!, no!. Siasa sio blah blah, japo blah blah zipo, ila pia kuna ukweli bayana, dhahir, shahir!. Siasa ni sayansi, social science, hivyo sayansi ya siasa ni political science, inafuata kanuni zile zile za kisayansi za Newton laws of motion, ile kanuni ya a body in motion or a static body, itaendelea kubaki hivyo hivyo milele, hadi kutokea nguvu nyingine itakayoibadilisha, hivyo kwa hali hii ilivyo sasa, CCM is the body in motion, itaendelea kutawala milele, kwa sababu watu wenye uwezo wa Kimungu, wameishaona kuwa kwa Tanzania, hakuna kabisa uwezekano wa kutokea nguvu nyingine ya kuibadili CCM hadi isitawale Tanzania milele!.
Japo kila lenye mwanzo, huwa lina mwisho, na CCM inamwanzo lakini haina mwisho, kitu pekee ambacho kina mwanzo na hakina mwisho, ni Mungu pekee ambaye ni Alfa na Omega, hivyo pia katika utawala wa Tanzania, CCM ndio alfa na omega wa siasa zetu, huu ni ukweli bayana ambao lazima sote tuukubali na wale wote wasioukubali ukweli huu, ni kweli watapata taabu sana!.
Hizi kauli za CCM kutawala milele, hazikuanza leo, na wala hazikuanza na rais Magufuli.
Hebu tembelea bandiko hili, umsikilize mwana CCM huyu alisema nini na uangalie alisema
lini na alisema wapi!, kwa wavivu wa kufungua links, kauli hii ya CCM kutawala milele, ilitolewa na Mhe. Pinda ndani ya Bunge letu tukufu na hakuna aliyetia neno!.
PM, Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda; Sorry, You are very wrong!
Nilidhani Mhe. Pinda amekosea, kumbe mimi ndiye niliyekosea baada ya ukweli huu kuzidi kuthibitishwa.
Humu jf, mtu wa kwanza kusema kuwa CCM itatawala milele ni mwana jf huyu
Je, CCM Itatawala Milele Au?
Na nilipokutana naye, nilifanya nae mahojiano haya.
lini
Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !.
Kuhusu hili la CCM kutawala milele, pia niliwahi kulisema hapa
CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
Katika awamu hii, viongozi wa upinzani walipoamua kujiengua kwenye vyama vyao kujiunga CCM, japo walibezwa, nikasisitiza humu, wasibezwe, wanaona mbali
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
Pascal
Nna hakika hujamuelewa,soma tena taratiiibuPaschal Mayala,naona unatafuta nafasi ya kuteuliwa...utaipata muda siyo mrefu hakuna kilichowahi kudumu milele chini ya jua
Wapelekewe sabuni za ruzuku ili wapige punyeto,mbona umekomalia kuwa wapelekewe mahawara?!,sabuni zitaepusha hayo mambo unayoyasema,mbona huna mawazo mbadala.Ingekuwa jambo la busara kama Dr Magu angelitumia uDokta wake kwa kanzisha jambo jipya la mikutano ya kujamiana kwa wafungwa,ili kuepusha Tanzania kuwa jamii ya Kulawitiana na kusagana.
Wajameni, haya ya CCM kutawala milele, sii yangu, yamezungumzwa, na nilichofanya mimi ni kuyarudia tuu.Utasubiri sana, kwa sababu CCM itatawala milele!
P
Sawa Mkuu Pascal Mayalla,nawe utaishi Milele wala usijali.
Hakuna kitu kama hicho.Kwa sasa kinabaki kikundi kidogo tu cha watu ambao ni wanufuika wa huu utawala wa sasa ila wengi wako against.
Wanazidi kupoteza uungwaji mkono na kadri wengi wanavyoikataa ndio hatari ya wao kutoka madarakani inavyoongezeka.
Hata Mugabe kwa ule wa madaraka alifanya maamuzi ya hovyo yaliyofanya hata majeshi kutomtii tena.
Watatoka tu siku yao yaja! Iko wapi KANU ya Moi? Kiko wapi kile chama cha Kaunda? yuko wapi Mugabe wa Zimbabwe? Nasema watatoka tu! Ukiona giza linazidi jua kunakaribia kupambazuka!
Watatoka tu siku yao yaja! Iko wapi KANU ya Moi? Kiko wapi kile chama cha Kaunda? yuko wapi Mugabe wa Zimbabwe? Nasema watatoka tu! Ukiona giza linazidi jua kunakaribia kupambazuka!
Sawa Mkuu Pascal Mayalla,nawe utaishi Milele wala usijali.
Sawa Mkuu Pascal Mayalla,nawe utaishi Milele wala usijali.
VP MBONA UNAJITOA UFAHAMU HVYO.GADAFI SADAM MABUTO MUGAMBE WOTE WALIKUWA ZAID YA HAYO
Watatoka tu siku yao yaja! Iko wapi KANU ya Moi? Kiko wapi kile chama cha Kaunda? yuko wapi Mugabe wa Zimbabwe? Nasema watatoka tube! Ukiona giza linazidi jua kunakaribia kupambazuka!
Ninaamini hata maana ya hilo neno milele huijui, na ndio maana umelitumia katika njia hii.
Huwezi hata kumliwaza mwenzio
Pasco mtatawala milele kimwili lakini mioyoni tuko huru. Milele ni mpaka lini ?! .
HAKIKA KUFA MTAKUFA TU. Bora kutendeana haki
Write your reply...paschal mayalla ..wewe ni shetan kama ccm wenzako yaaan unasifia mambo ya Giza? ulaaniwe kabisa NA kizazi chako chote..
Kwa tafsiri nyingine ni kwamba watanzania wataendelea kuwa wajinga milele. Hili ni tusi kabisa.
Sawa Mkuu Pascal Mayalla,nawe utaishi Milele wala usijali.
VP MBONA UNAJITOA UFAHAMU HVYO.GADAFI SADAM MABUTO MUGAMBE WOTE WALIKUWA ZAID YA HAYO
Watatoka tu siku yao yaja! Iko wapi KANU ya Moi? Kiko wapi kile chama cha Kaunda? yuko wapi Mugabe wa Zimbabwe? Nasema watatoka tu! Ukiona giza linazidi jua kunakaribia kupambazuka!
Ninaamini hata maana ya hilo neno milele huijui, na ndio maana umelitumia katika njia hii.
Huwezi hata kumliwaza mwenzio
Pasco mtatawala milele kimwili lakini mioyoni tuko huru. Milele ni mpaka lini ?! .
HAKIKA KUFA MTAKUFA TU. Bora kutendeana haki
Write your reply...paschal mayalla ..wewe ni shetan kama ccm wenzako yaaan unasifia mambo ya Giza? ulaaniwe kabisa NA kizazi chako chote..
Kwa tafsiri nyingine ni kwamba watanzania wataendelea kuwa wajinga milele. Hili ni tusi kabisa.
Nakutaarifu kwa mara nyingine ccm mwisho kutawala tanzania ni 2020.mambo mengi yatatokea from end of 2019 mpaka wakati wa uchaaguzi stay tuned .tunahitaji tume huru tu ili tuchukue nchi na tutaipata before 2020 election
Hili la CCM kutawala milele sii langu, naona watu mnanishambulia mimi.Mkuu, Heshima Juu Yako
Hii kauli kidogo inanitatanisha, nikikumbuka hichi ulichokiandika hizi siku chache zilizopita (hususani hicho nilichoki highlight)...
Je, umebadili mwelekeo? Ama ndio elimu ya uongozi na siasa nchini inavyotaka kutokua na kauli moja dhahiri?
Hebu tuelimishe kidogo, juu ya hizi kauli mbili zako mwenyewe wana JF tusiwe na SINTO-FAHAMU...View attachment 869379
The indigenous
Joka jeusi, nimekuleta hapa, unisome kama utanielewa.Mkuu Nakuheshimu sana kutokana na nilivyokuwa nakuona unawasilisha mada zako zenye hoja makini. Lakini kwa kauli hii ni dhairi Shahiri kuwa nilikuwa nakuheshimu na kuamini uwezo wako bure.
Mtu mwenye akili hawezi toa kauli kama hiyo. Iwe kwa mzaza au kwa kujisahau. Kauli yako inathibitisha mambo kadhaa. Mosi, Huenda huijui historia ya dunia japo naamini unaijua. Pili, Huenda umeongea kishabiki bila kufikri hivyo umeendekeza mahaba kuliko uhalisia.
Hakuan utawala unaoishi milele nadhani hilo unalijua. CCM hata haina miaka 30 tokea kuanzishwa kwake. Na haitafikisha miaka 100 lazima itadondoka chini hivyo ni kusema CCM haina miaka 70 mbele. Hata aje nani kutoka sayari nyingine.
Naomba urudishe heshima yako kwangu kwa kutengua kauli yako. Vinginevyo utapunguza moja wa watu wanaokuamini na kukuheshimu ambaye mimi ni mmoja wao.
Mkuu Too Sweet, kwanza asante kwa kuwa bold, truthfully na very objective katika kuusema ukweli na ukosoaji very genuine, honest na truthfully.Mkuu Paskali sikupingi, naheshimu michango yako. Wewe una uzoefu na mambo haya kwa sababu ya kuwa kwenye media na kukutana na viongozi. Hivi pekee havikufanyi ukufuru. Milele maana yake ni isiyo na mwisho, ya kudumu ,isiyozuilika.
Is something holy because it is holy or is it holy because it is loved by the gods? Hii ni nukuu ninayoipenda sana ya mwanafalsafa Socrates. Hapa ndipo ulipo mtego. Kudhani kuwa nguvu pekee zinatosha kumbakiza mtu au kikundi madarakani milele, is very unbecoming.
Wewe unajua sana kwa nini CCM bado iko madarakani. CCM si chama cha siasa kama vyama vingine. Ni chama dola. Kina-cling kwenye dola na kutumia excessive and brutal force ili kisiondoke kwenye power. Bila dola; Polisi, Jeshi, Usalama wa Taifa na rais anayechukia mawazo mbadala, CCM hakina uwezo unaoonekana kuwa nao sasa.
By the way, (sisemi kwa kukunanga) hukumbuki kuwahi kuingia matatani na Serikali kwa ulichokiandika JF? Wewe ni verified member, ni journalist. Serikali nyingi au zote za Afrika zinaogopa sana criticism ya waandishi wa habari. Hiyo ni dalili ya udhaifu. With all due respect sishangai ukiegamia upande unaouegamia kwa kuwa inakupa usalama. Hatukosoi kwa kuwa tunawachukia tunaowakosoa, tunataka wakae kwenye mstari. Hiyo si dhambi. Tunatumia majina feki kwa kuwa kutumia majina halisi ni deadly attempt. Wewe husemi ukweli, unatimiza wajibu, hasa kwa siku za karibuni.
Uniwie radhi sana kama nimevuka mpaka ila lengo ni kujaribu kuweka clarity. Be more pragmatic in your threads not more open.
Usisahau kwenda kumjulia hali Neville pale Muhimbili.
TS.