Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Husiwe unadanganya humu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo PmSizunguki zunguki
Nataka mke wa kuoa ili nyumbani kwetu tu talk openly, we have to dare to talk (jf slogan)
Sifa
Sifa zangu
A. Kipato cha kati 1000 USD to 2000 USD per month
B. Umri wangu 30 years
C. Umbo langu mrefu ,si mnene sana wala mwembamba,
D. Mfanyakazi wa kampuni moja hapa Ukraine Kiev,
Sifa za nimtakaye
1. Miaka 23-27
2. Rangi pleas hasiwe aliwahi kujichubua awe natural
3. Sitaki minene nataka wa kawaida hasiwe mnene mno ila awe wa saizi ya kati
Mi siyo mnene wala mwembamba sana ni wa saiz ya kati ila ka chura kawepo
4. Jamani sitaki mfupi.Maana mimi mrefu
5. Uwe na passport au uwe na vigezo vya kupata passport
6. Uwe na ujuzi wa kompyuta na tiyari kuwa karani
7. Please husiwe na mtoto narudia sitaki wa mtoto mimi
8. Uwe unatokea kagera, ama karagwe, bukoba, missenyi,
9. Elimu isizidi degree moja na penyewe diploma naiprefer zaid maana sitaki league kwangu,
10. Nitawapa kipaumbele wanaotokea kwenye familia zao, wanaopanga wengi siwaamini
11. Sitaki mfuasi wa vyama sijui UKAWA au CCM
12. Familia unayotokea iwe inaheshimika ili nikiona unazingua niwe na sehem ya kukuwajibisha
13. Mkristo wa dhehebu lolote
+38071591180
Naomba mni PM
Duh!. Poa ngoja nikufatePamefungwaa
Kwani wa dar hawatakiWarembo mkuje huku kuna fursa, ila mkuu wengi wako dar!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie tumia semgongweJamani sisi wanene tumewakosea nn na sisi mtuchukue huko
Ndio nini hiyo hazard[emoji23] [emoji23] [emoji23] shunie tumia semgongwe
Ulitaka ujitupie kwa jamaa?Dahh..
Mkuu vigezo vyako vigumu sana.
Kataja sio mkoa gani aki, sijui ngaraaKwani wa dar hawataki
Woiiii anataka muhaya mwenzieKataja sio mkoa gani aki, sijui ngaraa
Kiboko ya ubonge na vitambi [emoji23]Ndio nini hiyo hazard
Sitaweza mm ile utumie ufanye na diet shunie mm ninavyopenda kula ukinipenda unipende tu na ubonge wangu hakuna namnaKiboko ya ubonge na vitambi [emoji23]
Ni kama ile fetilicious nadhani
HahahaWoiiii anataka muhaya mwenzie
Halafu nyerere alikataza kabisa mambo za ukabilaHahaha
Mie nkashaona mtu anataja makabila namuogopa ka ukomaHalafu nyerere alikataza kabisa mambo za ukabila
Hawafai dada ni wa kuogopwa haoMie nkashaona mtu anataja makabila namuogopa ka ukoma