Kupata mchumba hapa am serious

Kupata mchumba hapa am serious

Sizunguki zunguki
Nataka mke wa kuoa ili nyumbani kwetu tu talk openly, we have to dare to talk (jf slogan)

Sifa
Sifa zangu
A. Kipato cha kati 1000 USD to 2000 USD per month
B. Umri wangu 30 years
C. Umbo langu mrefu ,si mnene sana wala mwembamba,
D. Mfanyakazi wa kampuni moja hapa Ukraine Kiev,


Sifa za nimtakaye
1. Miaka 23-27
2. Rangi pleas hasiwe aliwahi kujichubua awe natural
3. Sitaki minene nataka wa kawaida hasiwe mnene mno ila awe wa saizi ya kati
Mi siyo mnene wala mwembamba sana ni wa saiz ya kati ila ka chura kawepo
4. Jamani sitaki mfupi.Maana mimi mrefu

5. Uwe na passport au uwe na vigezo vya kupata passport

6. Uwe na ujuzi wa kompyuta na tiyari kuwa karani

7. Please husiwe na mtoto narudia sitaki wa mtoto mimi
8. Uwe unatokea kagera, ama karagwe, bukoba, missenyi,

9. Elimu isizidi degree moja na penyewe diploma naiprefer zaid maana sitaki league kwangu,

10. Nitawapa kipaumbele wanaotokea kwenye familia zao, wanaopanga wengi siwaamini

11. Sitaki mfuasi wa vyama sijui UKAWA au CCM
12. Familia unayotokea iwe inaheshimika ili nikiona unazingua niwe na sehem ya kukuwajibisha
13. Mkristo wa dhehebu lolote
+38071591180
Naomba mni PM
Njoo Pm
 
Aisee soon atashuka malaika hapo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu hapo kwenye kutokea kagera umekuwa mkabila sana. Sisi ni Watanzania usingeweka kigezo cha ukabila. Hizo sifa ulizoweka zitawakimbiza wengi.

Anyways mkuu maandalizi ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yapoje hapo Kiev?

Mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] au pamepoa.. Bado siku saba Liverpool achukue ubingwa hapo Kiev
 
Back
Top Bottom