Kupata mimba wakati unanyonyesha

hapa kazi ipo,mwanamke hatakiwi kuingiliwa kimwili hadi baada ya siku 40 za kujifungua,la mimba sina uhakika,imebidi nirudie mara mbili mbili kusoma kama ni 20 au 200,hizi clinic za kina mama inabidi na kina baba walazimishwe kwenda,kama mambo yenye ndio hivi
 
​Uwezekano huo upo.
 
Mkuu siku 20 ni chache sana mkeo hajapona vizuri. Hata kama pamekauka, kiuno na mgongo bado bwana. Ebu jitahidi kuvumilia kidogo. Lol!
 

Nimeipenda lugha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…