Mtoto sio andazi kwamba utakula liishe we mtoto!Sasa huyo mtoto nataka kupata nawe ili asije duniani kuteseka wakat mama upo na unajimudu π
Suala la show tamu niachie mm ili ikuondolee stress za kutafuta pesa π
Huyo ni muongo bhana! Hebu awadanganye wengine siyo Mimi.Kuna mtu alipata mimba bwawani.
π π π π π π π π π
Hii ndo style ya kuingia na mimba home kama una wazazi wakali kidogo inapunguza munkari π π π sema mpk ueleweke itabidi upeleke watafiti wakuteteehii yangu nimeipata kwa style hii ila nyumban hawataki kuamini kabisa
Yule ni mwalimu wa biology pale Tungi secondary morogoro.Jobless + chaputa a very crazy comboπ€£
πππππππππ ila shemeji eti alijamiiana vikali khaaaaNianivyo Mimi huyo atakuwa alijamiiana vikali katika shamba la alizeti akapata kibendi.
Ww c single mother wa watoto watano kila mtoto na baba ake hvy una uzoefu wa malezi, utasimamia hilo πMtoto sio andazi kwamba utakula liishe we mtoto!
Na leo ni mada za watoto tu kumekuchaπ
acha tu nimejitahidi kuwaeleza ila wapi, naomba uwe mtetezi wangu basiπ labda nitaelewekaHii ndo style ya kuingia na mimba home kama una wazazi wakali kidogo inapunguza munkari π π π sema mpk ueleweke itabidi upeleke watafiti wakutetee
Jamani ilipenya hujui mbegu zinamikia kama viluilui?vikiwa kwny kimiminika kama maji vinaelea hujui alikua amekaa pozi gani π πHuyo ni muongo bhana! Hebu awadanganye wengine siyo Mimi.
Nionavyo Mimi huyo atakuwa alijamiiana vikali katika shamba la alizeti akapata kibendi.
Ongezea na ulombaji mzuri πJobless + chaputa a very crazy comboπ€£
Yap, I mean kule kujamiiana hadi mazigazi yanaanza kuonekana.πππππππππ ila shemeji eti alijamiiana vikali khaaaa
ππππππππππππππππππππππππYap, I mean kule kujamiiana hadi mazigazi yanaanza kuonekana.
Nitakuja kukutetea with vivid example....πacha tu nimejitahidi kuwaeleza ila wapi, naomba uwe mtetezi wangu basiπ labda nitaeleweka
Aisee! we unazidi kunichekesha ππJamani ilipenya hujui mbegu zinamikia kama viluilui?vikiwa kwny kimiminika kama maji vinaelea hujui alikua amekaa pozi gani π π
Hawa ndio wamepata Mimba kwa urahisi kuliko Ajira ?
Hana hiyo akili ya kufundisha na hata akifundisha sanasana ataambulia 150k inamtosha yeye tu!Yule ni mwalimu wa biology pale Tungi secondary morogoro.
We sema tu ni jobless.
Kuna wale wanawake wanasema bikra zilitoka kwa kuendesha baiskeli πKuna mtu alipata mimba bwawani.
π π π π π π π π π