Kupata mtoto ni rahisi kuliko kupata ajira

Staki kuoa ila nataka mtoto, Nani tuwekeane makubaliano anizalie katoto kamoja na Mimi niitwee Baba, Nina kutu kichwani mpaka mambo hayaendi, najiulizaga nimekuja kufanyaje huku duniani.

My worst nightmares ni magonjwa, na wan awake wa SASA ni kasheshe.

NB sina njaa
Seran zingatia hapo sina njaa 😎
 
Staki kuoa ila nataka mtoto, Nani tuwekeane makubaliano anizalie katoto kamoja na Mimi niitwee Baba, Nina kutu kichwani mpaka mambo hayaendi, najiulizaga nimekuja kufanyaje huku duniani.

My worst nightmares ni magonjwa, na wan awake wa SASA ni kasheshe.

NB sina njaa
Bora nikuzalie wewe, huyu kibaka njaa kali😏
 
Back
Top Bottom