Kupata mtoto ni rahisi kuliko kupata ajira

Kupata mtoto ni rahisi kuliko kupata ajira

MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Sawa sawa wakili msomi.
 
ANAANDIKA BICHWA KOMWE 👌

Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi.

Watu wengi hudhani kwamba kupata mtoto inahitaji mikito mingi au kujitutumua na pampu nyingi, LA HASHA, unahitaji takoh mbili tu ukishamwaga basi tayari.

Hii ndio maana hata nyau, licha ya vipenseli vyao, wanaweza kutungishana mimba vizuri sana. Hebu fikiria kadudu kama panzi, kanatagisha mayai kabisa. It is very easy.

Nataka niifutilie mbali hii dhana mfu ati kwamba ili uzalishe basi inahitaji uwe dume sana au uwe na mayai yenye viwango. Ni rahisi sana.

Unachohitaji ni hasi na chanya tu bila hata kutumia maguvu yoyote.

Hii ni kinyume kabisa na kupata ajira tamisemi. Kusaka ajira unaweza ukaacha ndala. Nina ndugu zangu wengi sana wameacha ndala kwenye ajira za Tamisemi.

Kuna jamaa mmoja mpaka amedanlodi Application ya ajira portal lakini huu ni mwaka wa saba anasugua kisigino.

Tufanye utafiti wa kina sana katika hili.
Ajira ni juhudi za maisha yote wakati mtoto ni juhudi za usiku moja Tu ama ikiwa sii bahati juhudi ya mwezi moja Tu!
 
Back
Top Bottom