Dr William Mtanzania Real
Member
- Jul 10, 2024
- 31
- 27
Unaitwa uzazi chupiniMimba inaweza ingia hata bwawani tuu ukiwa unaogelea kama kuna mtu alijimwagia zake humo.....bila kugusanisha kitu...kama una uzazi kuzaa ni kugusa tuu😇😇😇😇😇
Nakujaa💃🏽Niko serious, naona unaleta utani. Embu njoo tuyajenge 😎. Na mini nipate kitoto kimoja. Kiwe kinanichangamsha.
Kuna jamaa mmoja ni kibamia pro max lakini ana mapacha watatu.
Nilibaki mdomo wazi 😵😵😵
Wizo hii iko wazi kama mbunye ya mbuziIla Wizzo sijui umewaza nini? Lakini uko sahihi kabisa..naunga mkono hoja.
Sawa sawa wakili msomi.MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
Hongera sana.Mada za kijinga sana hizi.
Zinazua kudiscuss ujinga tupu
Fanya hima, Nina usongo Sana wa kupata kitoto kimoja, kipate kunifurahisha na kunikumbusha uwepo wangu huko duniani 🥶🥶Nakujaa💃🏽
Limeisha hilo! Miezi michache tu utaitwa baba😎Fanya hima, Nina usongo Sana wa kupata kitoto kimoja, kipate kunifurahisha na kunikumbusha uwepo wangu huko duniani 🥶🥶
Ajira ni juhudi za maisha yote wakati mtoto ni juhudi za usiku moja Tu ama ikiwa sii bahati juhudi ya mwezi moja Tu!ANAANDIKA BICHWA KOMWE 👌
Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi.
Watu wengi hudhani kwamba kupata mtoto inahitaji mikito mingi au kujitutumua na pampu nyingi, LA HASHA, unahitaji takoh mbili tu ukishamwaga basi tayari.
Hii ndio maana hata nyau, licha ya vipenseli vyao, wanaweza kutungishana mimba vizuri sana. Hebu fikiria kadudu kama panzi, kanatagisha mayai kabisa. It is very easy.
Nataka niifutilie mbali hii dhana mfu ati kwamba ili uzalishe basi inahitaji uwe dume sana au uwe na mayai yenye viwango. Ni rahisi sana.
Unachohitaji ni hasi na chanya tu bila hata kutumia maguvu yoyote.
Hii ni kinyume kabisa na kupata ajira tamisemi. Kusaka ajira unaweza ukaacha ndala. Nina ndugu zangu wengi sana wameacha ndala kwenye ajira za Tamisemi.
Kuna jamaa mmoja mpaka amedanlodi Application ya ajira portal lakini huu ni mwaka wa saba anasugua kisigino.
Tufanye utafiti wa kina sana katika hili.
Tangu nimetoka kanisani nilikua sijacheka kama nilivyocheka hii comment aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani ni kugusa tuuUnaitwa uzazi chupini
Mbona hapo nimetema baiolojia tupu mkuuAkili umepeleka wapi?
Kweli bwana ....😅Kuna wale wanawake wanasema bikra zilitoka kwa kuendesha baiskeli 😂
Ah huu n uongo bhana, sisi sote n watu wazima, tusidanganyane hv 😂
Aisee kizazi cha nyoka na wewe kumbe? 😂Mbona hapo nimetema baiolojia tupu mkuu
Hhhh gusa unase iyoTangu nimetoka kanisani nilikua sijacheka kama nilivyocheka hii comment aisee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani ni kugusa tuu
Kwanini isiwe wewe au ww hazina kasi ??😄😄Aisee kizazi cha nyoka na wewe kumbe? 😂
Haya Twende ziwani alafu wewe na Mbaga mkafanye experiment tuone kama madai haya ni ya kweli