Kupata pesa na kuimiliki ni vitu viwili tofauti

Kupata pesa na kuimiliki ni vitu viwili tofauti

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Nilichogundua na kuona kwa macho sio kila mtu anaweza kuimiliki pesa na ikakaa upande wake .

That way watu wana vipato vikubwa but they still broke .

Nb: Maarifa wanayo watu wachache na hao watu wachache ndo wapo huru

nadhani Kazi ya heshima au kuingiza pesa nyingi bado haiwezi kukufanya kuweza kuimiliki pesa na ikabaki upande wako
 
Ukweli ndiyo huo.

Umeona wastaafu wengi wanapopewa mafao yao. Hawadumu nazo hata kwa mwaka. Wachimbaji wengi wanapobahatisha fedha huishia kufirisika. The same na wavuvi, wakulima nk.

Kumiliki fedha kunahitaji ujasiri, roho mbaya kidogo, ubunifu wa kuzizalisha nk. Huku pia ukiomba na majanga yakuepuke.
 
Nilichogundua na kuona kwa macho sio kila mtu anaweza kuimiliki pesa na ikakaa upande wake .

That way watu wana vipato vikubwa but they still broke .

Nb: Maarifa wanayo watu wachache na hao watu wachache ndo wapo huru
Mr Nice

20 Percent

Juma Nature

Idris Sultan

Hao hapo juu ni baadhi tu ya watu kwenye tasnia ya sanaa na burudani ambao walishika mkwanja mrefu lakini ukiona hali zao sasa hivi utawaonea huruma.

Kupata pesa ni jambo moja, kuimiliki ni jambo lingine.

Nawiwa kusema kwamba Wabongo/Waafrika wengi hatuna nidhamu ya pesa.

Wengi wetu tukipata pesa inatutawala badala ya sisi kuitawala.

Tunajikuta tunanunua vitu tusivyovihitaji, tukifilisika tunaanza kuuza vitu tunavyovihitaji.

Mtu anapata milioni 100 kwa mfano, badala ya kutuliza kichwa kwanza anaanza kununua magari ya kifahari ambayo ni liability badala ya kutafuta assets.

Mambo ni mengi sana mkuu.
 
Point number two ambayo wengi mnairuka, ama kwa kutojua au makusudi: hoja siyo kuitunza pesa. Suala la msingi ni matumizi ya pesa yenyewe ama kuitunza au kuimiliki kwa lengo gani hasa?

Money should never ever be made or kept for the sake of it. Money should always serve a noble purpose.

Hili jambo wengi wanaliruka, ndiyo maana na pesa zenyewe zinawaruka.
 
Matumizi kuwa level Moja au kuzidi unachopata
Pesa kubakizwa pesa na sio kufanywa asset.
Pesa yako kutokukufanyia kazi na kujizidisha.
Usismamizi mbovu na upungufu was nidham ya fedha
Kushindwa kuelewa kuwa Crisis ipo.

Mwisho wengi wanapata promotion aidha ya mda mrf au mfupi wanajishau na kuhitimisha we are Don's forever
 
Back
Top Bottom