DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mr NiceNilichogundua na kuona kwa macho sio kila mtu anaweza kuimiliki pesa na ikakaa upande wake .
That way watu wana vipato vikubwa but they still broke .
Nb: Maarifa wanayo watu wachache na hao watu wachache ndo wapo huru