Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuge yule Wa Geita Musukuma alisema bungeni. Samaki ni bidhaa adimu kanda ya ziwa. Akamsema waziri aache mihemuko.Mimi naishi Kanda ya Ziwa hakuna taarifa kama hiyo. Mhe.Mpina kaza kamba ili samaki waongezeke.
Inauma sana tunakoelekea, hata kma ni kutaka sifa za vyeo lkn tutaumizana kwa style hii. Nasema ni kama tetesi kwa savabu siamini hiki nilichoambiwa, labda nipate na uthibitisho kutoka kwa watu wa humu jukwaani ambao wameenda huko na kushuhudia hii hali. Iko hivi, Kuna rafiki yangu yuko huko kanda ya ziwa, nimemwambia ukiwa unarudi mkuu, nikutumie hata ka ten unichukulie hata dagaa (vimena), jibu alilonipa ni kwamba gari ikipigwa mkono, unashuka na begi lako kukaguliwa hivyo anaogopa kuchukua chchte kwa jina la samaki kutoka kanda ya ziwa, je, hivi nyie mnaotufanyia hivi mnataka wananchi wa kawaida tuishije, hata dagaa ni ishu sasa, hadi imeshoot bei juu, hlf Waziri anayehusika anatokea huko huko kanda ya ziwa, amejitoa ufahamu bila kujua kuwa watu wa hiyo kanda tegemeo lao kubwa ni samaki..niishie hapo.
Ni kweli wewe utaishi kama shetani iwapo hutojali maisha ya raia wenzako, ukasukumwa na ubinafsi.Mpaka wote tuishi kama mashetani ndiyo tutajitambua