Kupatwa kamilifu na kurefu zaidi kwa mwezi pamoja na mpangilio wa sayari angani

Inavyoonekana Sasa Africa mashariki
 
GMT ilikua replaced na UTC tangu 1972!
Inategemeana uko jimbo gani huko USA maana hawana muda Sawa pia. Mfano central ni UTC - 6 hours. Chukua 24 hours minus 6hours. = 18. Central America ni saa 12 asubuhi.
 
Mleta mada ongeza neno GMT kwenye masaa yako, lah utafanya watu waumie shingo wakitazama kupatwa kwa jua bila mafanikio. Kwa EA inapaswa kuwa kutokea 28 July.
Hapana. Tarehe 27 July. Tayari tumeshuhudia. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kila siku au kwa leo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…