Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kiama ni leoKumbuka kesho ni ijumaa na kiama kilitabiriwa kitasimama siku ya Ijumaa.
Mkuu upande wa pili wa dunia utakuwa mchana kama kawaida huku sisi tukiwa ni usikuSamahan ndugu nataka uniweke sawa kwmba wakt mwezi unapatwa leo je kuna sehemu ya dunia itakuwa mchana?na ni sehemu gani hiyo
Shukrani sana san..ubarikiweMkuu upande wa pili wa dunia utakuwa mchana kama kawaida huku sisi tukiwa ni usiku
Upande wapili ambapo kutakuwa mchana kuna naeneo hawatashuhudia hili
Angalia vizuri hii picha utaelewaView attachment 820130
Pamoja sana mkuuShukrani sana san..ubarikiwe
Central Africa bado Mkuu ,liko vile vileWadau Mwezi ushaanza kupatwa unaweza ukachecki sasa.
Duuuu huku Tanzania,Arusha noana nusu una kivuli cheusi.Central Africa bado Mkuu ,liko vile vile
Huku mie nasubiri nioneDuuuu huku Tanzania,Arusha noana nusu una kivuli cheusi.
Ndugu kuna athari yyt ya kupiga picha kwa mwezi unapopatwa..?ntapenda nkijbiwa ktaalamuMleta mada ongeza neno GMT kwenye masaa yako, lah utafanya watu waumie shingo wakitazama kupatwa kwa jua bila mafanikio. Kwa EA inapaswa kuwa kutokea 28 July.
Naona tayari ushabakwaNami naona umeanza kuwa mwekundu toka chini kuelekea juu