Kupatwa kamilifu na kurefu zaidi kwa mwezi pamoja na mpangilio wa sayari angani

Kila siku au kwa leo tu?

Kwa sasa sayari hizi zinaonekana kila siku.
-Sayari ya Zuhura (Venus) itakuwa angani na upande wa magharibi hadi mwezi wa tisa (Septemba).
-Mshtarii (Jupiter) itasogea hadi upande wa magharibi na kuonekana hadi mwezi wa kumi (Oktoba)
-Zohali (Saturn) nayo inasogea upande wa magharibi siku hadi siku na itaonekana hadi mwezi wa kumi na moja (Novemba)
-Mshtarii (Mars) tutakuwa nayo hadi Juni mwakani ila mn'gao wake utakuwa unafifia siku hadi siku.
 
GMT ilikua replaced na UTC tangu 1972!
Inategemeana uko jimbo gani huko USA maana hawana muda Sawa pia. Mfano central ni UTC - 6 hours. Chukua 24 hours minus 6hours. = 18. Central America ni saa 12 asubuhi.

Kweli ni vizuri kutoa muda wa kimataifa katika mabano ili watu wote waweze kuelewa muda wa tukio
 
Kwa sasa sayari hizi zinaonekana kila siku.
-Sayari ya Zuhura (Venus) itakuwa angani na upande wa magharibi hadi mwezi wa tisa (Septemba).
-Mshtarii (Jupiter) itasogea hadi upande wa magharibi na kuonekana hadi mwezi wa kumi (Oktoba)
-Zohali (Saturn) nayo inasogea upande wa magharibi siku hadi siku na itaonekana hadi mwezi wa kumi na moja (Novemba)
-Mshtarii (Mars) tutakuwa nayo hadi Juni mwakani ila mn'gao wake utakuwa unafifia siku hadi siku.
Asante
 
Ndugu kuna athari yyt ya kupiga picha kwa mwezi unapopatwa..?ntapenda nkijbiwa ktaalamu

Mwanga wa Mwezi ni mdogo sana wa kuweza kuuona kwa macho yetu. Mwezi ukipatwa mwanga unapungua tena. Kwa hiyo hakuna madhara ukiupiga picha
 
This might help ila maeneo yatatofautiana muda kidogo, wa kigoma haweza ona muda sawa na wa Dar au Nairobi.

Kwa vile muda tunaotumia ni wakitaifa na pia ni huo huo kote Afrika ya Mashariki, muda wa hatua za tukio utakuwa ule ule mmoja kwa sehemu zote za Tanzania na hata za Afrika ya Mashariki.
 
Naomba ufafanuzi hapa mkuu
Unaonaje?
Nataka nijaribu

Kwa sasa sayari hizo zinaonekana kila siku.

Back
Top Bottom