Kupatwa kamilifu na kurefu zaidi kwa mwezi pamoja na mpangilio wa sayari angani

Kupatwa kamilifu na kurefu zaidi kwa mwezi pamoja na mpangilio wa sayari angani

Mleta mada ongeza neno GMT kwenye masaa yako, lah utafanya watu waumie shingo wakitazama kupatwa kwa jua bila mafanikio. Kwa EA inapaswa kuwa kutokea 28 July.
 
This might help ila maeneo yatatofautiana muda kidogo, wa kigoma haweza ona muda sawa na wa Dar au Nairobi.
Screenshot_2018-07-27-12-00-03.jpg
 
Samahan ndugu nataka uniweke sawa kwmba wakt mwezi unapatwa leo je kuna sehemu ya dunia itakuwa mchana?na ni sehemu gani hiyo
Mkuu upande wa pili wa dunia utakuwa mchana kama kawaida huku sisi tukiwa ni usiku
Upande wapili ambapo kutakuwa mchana kuna naeneo hawatashuhudia hili

Angalia vizuri hii picha utaelewa
20180717-164101-lunar-eclipse-july-2018-path-800x356.jpg
 
Hapo ndipo nawakubali wazungu,Nacheki angani mwezi ushaanza kuwa na kivuli mpaka saa 5 na dk 21 utakuwa full umefunikwa.
 
Mleta mada ongeza neno GMT kwenye masaa yako, lah utafanya watu waumie shingo wakitazama kupatwa kwa jua bila mafanikio. Kwa EA inapaswa kuwa kutokea 28 July.
Ndugu kuna athari yyt ya kupiga picha kwa mwezi unapopatwa..?ntapenda nkijbiwa ktaalamu
 
Back
Top Bottom