Kupatwa kwa snura

Kupatwa kwa snura

View attachment 401061
Habari zenu wapendwa baada ya bidada Snura Mushi kusema hawezi kuwavulia chupi wadogo zake yaani wanaume aliowazidi umri .. Juz kapost picha akidendeka hadharani na Ben pol , sasa swali ni je huyo benpol ni agemate na snura?? Au ndo kiki??? Bado hainiingii akilini Ben???? Hell no hii itakuwa kiki...moyo mashine unakataa... Usiku mwemaz[emoji42] [emoji42] [emoji42]
Kwa kuwa namba zake za cm ziko hapo juu ya picha ngoja tumpigie tumuulize je!!ile kauli ametengua au alikuwa kitwanga!!
 
Kabisa ila Ben nimemdharau Sana nilkw namuheshimu
Umedharau kwa nini?ulitaka aje kwako?kupenda hakuna cha heshma inakuwa husikii huoni,endelea kumuheshim kama mwanamuziki na binadamu lakin usimdhrau kwa kudendeka na snura,let them be my dear!
 
View attachment 401061
Habari zenu wapendwa baada ya bidada Snura Mushi kusema hawezi kuwavulia chupi wadogo zake yaani wanaume aliowazidi umri .. Juz kapost picha akidendeka hadharani na Ben pol , sasa swali ni je huyo benpol ni agemate na snura?? Au ndo kiki??? Bado hainiingii akilini Ben???? Hell no hii itakuwa kiki...moyo mashine unakataa... Usiku mwemaz[emoji42] [emoji42] [emoji42]
mbona wajaachiana mate hapo naona midomo hapo pembeni kwa ishara ya kumbatio na busu basi msanii mwenzao alipiga picha nakuitupia mtandaoni au yey mwenyew snura aliamua kufanya kiki
 
Hivi snura anaimba au anachezesha makalio(ashakum si matusi)
 
Back
Top Bottom