Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona t_bag afu kwa avatar ni mahone[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa kuwa namba zake za cm ziko hapo juu ya picha ngoja tumpigie tumuulize je!!ile kauli ametengua au alikuwa kitwanga!!View attachment 401061
Habari zenu wapendwa baada ya bidada Snura Mushi kusema hawezi kuwavulia chupi wadogo zake yaani wanaume aliowazidi umri .. Juz kapost picha akidendeka hadharani na Ben pol , sasa swali ni je huyo benpol ni agemate na snura?? Au ndo kiki??? Bado hainiingii akilini Ben???? Hell no hii itakuwa kiki...moyo mashine unakataa... Usiku mwemaz[emoji42] [emoji42] [emoji42]
vip hapa wako maeneo ya Goba niniChura imenasa kwenye mashine ya moyo.
Umedharau kwa nini?ulitaka aje kwako?kupenda hakuna cha heshma inakuwa husikii huoni,endelea kumuheshim kama mwanamuziki na binadamu lakin usimdhrau kwa kudendeka na snura,let them be my dear!Kabisa ila Ben nimemdharau Sana nilkw namuheshimu
Wapo Instagilamu.vip hapa wako maeneo ya Goba nini
mbona wajaachiana mate hapo naona midomo hapo pembeni kwa ishara ya kumbatio na busu basi msanii mwenzao alipiga picha nakuitupia mtandaoni au yey mwenyew snura aliamua kufanya kikiView attachment 401061
Habari zenu wapendwa baada ya bidada Snura Mushi kusema hawezi kuwavulia chupi wadogo zake yaani wanaume aliowazidi umri .. Juz kapost picha akidendeka hadharani na Ben pol , sasa swali ni je huyo benpol ni agemate na snura?? Au ndo kiki??? Bado hainiingii akilini Ben???? Hell no hii itakuwa kiki...moyo mashine unakataa... Usiku mwemaz[emoji42] [emoji42] [emoji42]
Ebwana eeeh! Hiyo kali.Ndio naskia imepelekea akagombana na mama mtoto wake