Kupatwa kwa wachambuzi

Kupatwa kwa wachambuzi

.
FB_IMG_1685469488205.jpg
 
Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA.

Hiki ndicho alichoandika Manara kwenye page zake rasmi

"Mnakwama Wapi Wachambuzi kunipigia Simu? Tatizo ni nini Bando au mnaniona mimi Chinja Chinja?
Mbona mimi fresh tu kwenu?

Nasubiria Simu zenu nifanye Teuzi ndugu zangu, msiniogope bhana, na posho ya safari pia nnazo mimi.

So far ukiacha @oscaroscarjr wa Wasafi na @jr_farhanjr wa Clouds ,Pamoja na @dominicksalamba wa azamtvtz bado sijapokea Simu nyingine, ningetamani na Vituo vingine nao waende.

Piga now Chambuzi, Piga kwa Bugati akupe Exposure ya kuruka na Mwewe, halaf uzuri wa Algeria ina Boda na France, Yaani ukifika kule kama umefika Ulaya tu.

Nb:: Nipo nimekaa pale na Panga langu nasubiria kutahiri without Ganzi, kuku wahed."

Ameambatanisha na picha ifuatayo
hahahahha manara hanaga akili kabisaa
 
Sasa wachambuzi wa nini kusafiri nao? Hii chance wanatakiwa wasafiri waandishi wa habari wa michezo basi.
 
Kuna mchambuzi anaitwa Geoff Lea nimemchukia sana siku za karibuni kwa upuuzi wake. Kimsingi EFM nzima imekosa weledi kwenye ishu ya uchambuzi. Wachambuzi wote pale wanaichukia Yanga na pia hawana maneno ya hekima wanapoongea.
Hupaswi kumchukia mtu bali kosoa hoja yake kwa hoja zako,ukiona unachukia mtu basi ni wazi una tatizo.
 
We sema tu imekuuma kwakua ni shabiki wa Yanga

Huyo Geaf Leah anaisifiaga sana Yanga lakini siku akiisema negative mnasema chuki.

Huyo Edo mwenyewe ambaye ni rafiki wa Manara naye analalamika kuitwa chambuzi wa mchongo na mashabiki wa Gongowazi.

Wachambuzi hawawezi kuwa wanafanya kazi kwa malengo ya kuwaridhisha nyinyi (feeding your ego) hiyo ni sawa na kuwa bootylicker
Geof Lea huwa haogopi kutoa maoni yake hata pale anapoulizwa maswali magumu na huwa ana hoja za msingi. Geof ni mchambuzi bora kabisa wa mpira kwa nchi hii.

Wabongo wanapenda mchambuzi aina ya Ambangile ambae siku zote huwa ana majibu ya kisiasa anapoulizwa kuhusu hizi timu za kariakoo.
 
Tatizo la Geoff Lea ni MOJA tu

Haiwezekani yeye mwenyewe awe mchambuzi wa kila aina ya mchezo

Football yeye
Mieleka yeye
Netball yeye
Volleyball yeye
Basketball yeye
Bongo movie yeye
Boxing yeye

Hamna uchambuzi wa dizain hii ya Geoff Lea ajikite na vitu anavovijua tuu aache u much know
 
Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA.

Hiki ndicho alichoandika Manara kwenye page zake rasmi

"Mnakwama Wapi Wachambuzi kunipigia Simu? Tatizo ni nini Bando au mnaniona mimi Chinja Chinja?
Mbona mimi fresh tu kwenu?

Nasubiria Simu zenu nifanye Teuzi ndugu zangu, msiniogope bhana, na posho ya safari pia nnazo mimi.

So far ukiacha @oscaroscarjr wa Wasafi na @jr_farhanjr wa Clouds ,Pamoja na @dominicksalamba wa azamtvtz bado sijapokea Simu nyingine, ningetamani na Vituo vingine nao waende.

Piga now Chambuzi, Piga kwa Bugati akupe Exposure ya kuruka na Mwewe, halaf uzuri wa Algeria ina Boda na France, Yaani ukifika kule kama umefika Ulaya tu.

Nb:: Nipo nimekaa pale na Panga langu nasubiria kutahiri without Ganzi, kuku wahed."

Ameambatanisha na picha ifuatayo
Tatizo wengi hawana passport.
 
Tatizo la Geoff Lea ni MOJA tu

Haiwezekani yeye mwenyewe awe mchambuzi wa kila aina ya mchezo

Football yeye
Mieleka yeye
Netball yeye
Volleyball yeye
Basketball yeye
Bongo movie yeye
Boxing yeye

Hamna uchambuzi wa dizain hii ya Geoff Lea ajikite na vitu anavovijua tuu aache u much know
Umezidisha chumvi, huwa anachambua football, basketball na kidogo ngumi.
 
Tatizo la Geoff Lea ni MOJA tu

Haiwezekani yeye mwenyewe awe mchambuzi wa kila aina ya mchezo

Football yeye
Mieleka yeye
Netball yeye
Volleyball yeye
Basketball yeye
Bongo movie yeye
Boxing yeye

Hamna uchambuzi wa dizain hii ya Geoff Lea ajikite na vitu anavovijua tuu aache u much know
Multitallented ni kawaida.. will smith ni song writer, rapper, actor of action movies, comedian nk. Na huko kote anafanya vzr.
 
Hupaswi kumchukia mtu bali kosoa hoja yake kwa hoja zako,ukiona unachukia mtu basi ni wazi una tatizo.
Kuna hoja na kuna chuki. Hao wachambuzi maneno yao ni ya chuki sio hoja. Kwa mfano kauli ya Jemedari kudharau kombe la shirikisho hiyo nayo ni hoja?
 
Multitallented ni kawaida.. will smith ni song writer, rapper, actor of action movies, comedian nk. Na huko kote anafanya vzr.
Mkuuu vyote ulivotaja ni vitu vilevile tofauti na michezo kuwa comedian na action movies actor ni just the same but not similar

Hata rapper na song writer ni the same but not similar

Lakin kweny michezo huwezi compare
football na mieleka
Mieleka na netball
Netball na movie
Movie na basketball

Never kuwa competent kwenye hivi vitu KWA ufasaha maybe uwe uelewa kidogo na vingine ukavijua vizuri

Geoff Lea anatupiga sana fix hata kwenye football akae tu kwenye basketball [emoji459]
 
Kuna hoja na kuna chuki. Hao wachambuzi maneno yao ni ya chuki sio hoja. Kwa mfano kauli ya Jemedari kudharau kombe la shirikisho hiyo nayo ni hoja?
Nadhani ni hoja cos manara pia alidharau kombe hilo hilo,kisa simba anacheza,ile unaizungumziaje??
 
Kufuatia Mheshimiwa Rais kutoa ndege ya Bure, Uongozi wa Yanga umempa kazi Manara kuratibu kuhusu wachambuzi watakaokwenda Algeria kwenye mechi ya Yanga na USMA.

Hiki ndicho alichoandika Manara kwenye page zake rasmi

"Mnakwama Wapi Wachambuzi kunipigia Simu? Tatizo ni nini Bando au mnaniona mimi Chinja Chinja?
Mbona mimi fresh tu kwenu?

Nasubiria Simu zenu nifanye Teuzi ndugu zangu, msiniogope bhana, na posho ya safari pia nnazo mimi.

So far ukiacha @oscaroscarjr wa Wasafi na @jr_farhanjr wa Clouds ,Pamoja na @dominicksalamba wa azamtvtz bado sijapokea Simu nyingine, ningetamani na Vituo vingine nao waende.

Piga now Chambuzi, Piga kwa Bugati akupe Exposure ya kuruka na Mwewe, halaf uzuri wa Algeria ina Boda na France, Yaani ukifika kule kama umefika Ulaya tu.

Nb:: Nipo nimekaa pale na Panga langu nasubiria kutahiri without Ganzi, kuku wahed."

Ameambatanisha na picha ifuatayo
Aahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom