GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wakati kwako kunateketea??Waswahili walisema kutoa ni moyo sio utajiri.
Ndio majirani zetu hao, tunaboresha mahusianoWakati kwako kunateketea??
Wakati watoto wako wanakufa njaa???Ndio majirani zetu hao, tunaboresha mahusiano
ulitaka nayeye aseme kwan ni yeye alieleta tetemeko? Kimefanyika kilichofanyika kwa uwezo uliopo, serikali haikosi fungu la dharura.Wakati watoto wako wanakufa njaa???
Dahhh!! Acha atuwakilisheulitaka nayeye aseme kwan ni yeye alieleta tetemeko? Kimefanyika kilichofanyika kwa uwezo uliopo, serikali haikosi fungu la dharura.
Huku akiendelea kuifungua nchiDahhh!! Acha atuwakilishe
Mahindi karibu yote yanayosagwa Dar yanatoka Malawi na Zambia sasa sisi kuwapelekea mahindi ni kitukoHivi majuzi niliona mahala na kusikia kwingineko kuwa Tanzania imepeleka Shehena za Mahindi ya Msaada kwa Waathirika wa Kimbunga Freddy huko nchini Malawi kama sehemu ya kuonyesha ujirani mwema na kupata Thawabu zaidi kwa Mwenyezi Mungu...
Ni Baraka, Hata yule Tajiri aliambiwa uza mali zako zote kisha unifwate, Ndio maana Mungu Kaachilia mvuaHivi majuzi niliona mahala na kusikia kwingineko kuwa Tanzania imepeleka Shehena za Mahindi ya Msaada kwa Waathirika wa Kimbunga Freddy huko nchini Malawi kama sehemu ya kuonyesha ujirani mwema na kupata Thawabu zaidi kwa Mwenyezi Mungu...
Inategemea jirani yako kapatwa na janga gani, kuna suala la njaa, pia kuna suala la njaa +janga, huyu ni lazima umuokoe maana amekutwa na vyote viwili kiutu ni lazima umsaidie, ila nyie msio na utu wala kupima mambo na jinsi mlivyo na maroho mabaya toka kuumbwa kwa dunia hamuwezi kumsaidia mtu, japokuwa unaona kabisa fulani kaelemewa.Hivi majuzi niliona mahala na kusikia kwingineko kuwa Tanzania imepeleka Shehena za Mahindi ya Msaada kwa Waathirika wa Kimbunga Freddy huko nchini Malawi kama sehemu ya kuonyesha ujirani mwema na kupata Thawabu zaidi kwa Mwenyezi Mungu...