Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Mfundishe banyamulenge mambo ya Utu, utamaduni huu huwa hawanaMpende jirani yako kama nafsi yako. Malawi ni jirani yetu ni wajibu tuwasaidie hata kama tuna shida zetu. Uungwana wetu na upendo wetu kwa Waafrika wenzetu ni jadi na utamaduni wetu kama Taifa.