Kupeleka majeruhi USA, Jambo JEMA sana lakini...

Ha haaa haaa wana ccm bana... eti mitusi... kwani kuna asiye jua kutukana mkuu.... ustaarabu tu utawale....
 


Sengerema pia kuna hospitali kubwa ya mission
 
Pole sana kwa maumivu uliyoyapata mpaka kuamua kurusha matusi. Kama ungesoma uzi vizuri ungekuwa na lugha ya kistaarabu zaidi.
 
Kama kuna matusi yamekuijia ukayabana kifuani ujue tayari ushatukana katika ulimwengu wa roho.

Kwanini ufikirie kumtukana mtu ama kumfanyia ubaya ilihali tumeambiwa tuwasamehe wakosaji wetu?

Unakasirika nini? Jua kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
 


Inatosha kumshukuru Mungu kwa kuwanusuru hao watatu, huu sio wakati wa siasa bali kuwashukuru wote waliofanikisha safari hiyo bila kujali gharama au wapi wamepelekwa ili mradi watoto wetu wapate tiba stahiki na kurejea nyumbani Mungu akipenda
 
Kwa hisani ya watu wa marekani. Ni vyema kwa kuwa watapata matibabu ya kisasa zaidi.
 
Nafikiri mleta hoja anahusisha mambo na uchawi kwenye thiatha ya 2020
 
Hahahaha kupurukuka katika high level! hahahaha
 
Wewe unaweza kuwa Hata mchawi samahani sana kwa personal attack but imenibidi nisema haya kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF 2007,kwasababu ya kudadisi na kuto support majeruhi Watoto malaika wale kupelekwa Marekani kwa matibabu zaidi.

Watalii wamarekani wameshiriki ktk uokozi eneo la Tuko ambalo kwao may be ni tukio baya sana ktk historia ya maisha kukuona kiasi cha kuacha yote yaliyokuwa mbele yao na kuanza kushughulika na majeruhi tu na hatimaye kupanga kuondoka nao kwa matibabu zaidi.

Wale Watoto majeruhi Pamoja na kuwa stable ktk vitals lakini wana multiple fractures ktk maeneo ambayo ni magumu ktk Huduma zake hapa nchini mfano fractures za maxilla na mandible ni very complex, fractures za pelvic na bilateral femur bones ni shida sana.

Kati hayo niliyoyata mengine yanaweza kutibika nchini na mengine inaweza kuwa changamoto ktk tiba yake kutokana na vifaa.

Pamoja na maboresho ya Huduma ya afya lakini bado hatujafikia viwango vya juu kabisa kama wenzetu wa Nje.

Gharama zote ziko juu ya hao wafadhili waliojitokeza kuwasaidia Hata kama Serikali nayo ilikuwa na mipango yake kuhusu Huduma za majeruhi Nje ya nchi.
 
Kwa hisani ya watu wa marekani. Ni vyema kwa kuwa watapata matibabu ya kisasa zaidi.
Kwa kweli! Hawa watu kwa matibabu, sikia tu! Ninashuhuda za kutisha juu ya matibabu ya hawa watu yaani wako mbali mbali mno! Ni vitu ambavyo wewe mwenyewe you cannot imagine! Watoto wetu wako kwenye mikono ya kuaminika kwa kweli na watapona kabisa! Believe me on that!
 
Najua wengi wamejibu hilo huko juu, ngoja nami nisisitize. Mkuu hao watoto kwenda USA ni msaada kutoka kwa kundi la madaktari walioguswa na tukio hilo ambao walikatisha ratiba yao (wao walitokea marekani) kuwahudumia majeruhi na waliofariki katika ajali ile maana nao walikuwa maeneo ya karatu wakati tukio linatokea.
 
kuna mambo yanakera aiseee...hv ww mleta mada una akili kweli???

watt wako mahututi wanaenda kutibiwa ww unalalamika gharama kweli????

unataka waende kenya sijui hv wao wametuzd kiasi hicho kweli

maisha ya watu unaingiza na siasa???so watt wasitibiwe kisa 2020??

hv ungekua na mtt wako kati ya wale watatu ungepost huu utumbo???

unataka kufananisha expertise wa USA na Tz aiseee

kuna maisha nje ya siasa...mm nashukuru watt wanaenda kupatiwa msaada zaidi kwa madaktar bingwa coz mm angekuepo mwanangu ningeuza hata nyumba yangu kumtafutia matibabu bora maisha yana thamani kuliko kitu chochote mali zitatafutwa hata kama zikipotea bt sio maisha

Yyte aliefanikisha hili abarikiwe kama ni serikali au hao wazungu wamejitolea wenyewe
 
Mkuu serikali haijatoa hata thumni zaidi tu imekula ile rambirambi
 


 
Acheni ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…