mats_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 399
- 299
nipe link mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipe link mkuu
Acha roho mbaya,waache watoto wakapate matibabu bora kabisa duniani,au unataka wawe walemavu ili kesho ulaumu serikali ya ccm kuwa haikufanya juhudi za kuwapa matibabu bora.Kuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema zake na Upendo usio kifani. Ameruhusu lililotokea litokee.
Inafurahisha pia kuona jitihada za kunusuru maisha ya majeruhi watatu (sijui ni jitihada za nani lakini hilo si muhimu); lakini nina maswali mengi kichwani na si hitaji majibu kwa yote bali kwa kililo/yaliyo makuu. Nayo ni:
1. Kwa nini wapelekwe USA na kwingineko ambako kunaweza kuwa cheaper?
2. Hivi ni kweli kuwa majeruhi hawa wasingeweza kutibiwa hapa hapa kwetu au Kenya kwa majirani zetu?
3. Je, yawezekana ni kweli kuwa hadi leo Tanzania na nchi majirani hazina uwezo kabisa wa ku deal na serious cases kama hizi (yaani kama hizi serious xases)?
4. Je, yawezekana huu ni uwekezaji mkubwa kwenye siasa za 2020?
Mpango huu ubaweza kuwa na maswali mengi bila majibu ya kutosha lakini jitihada hizi ni za kupongezwa sana; yote katika yote, hawa watoto wanahitaji medical attention iliyo makini sana na tuwatakie safari njema na hatimaye siku moja hali zao zitakapokuwa zimeimarika zaidi Mungu awarudishe salama nyumbani.
yapasa kumpa shukrani Mungu hata kwa madogo mimi nashukuru mungu matusi Ya nguoni niliyokuwa nayo Ya kumtukana mleta mada sijayatoa kwangu sio jambo dogo huyu mleta mada ningemporomoshea mitusi ya nguoni asingelala. Mungu kanipa uvumilivuKama kuna matusi yamekuijia ukayabana kifuani ujue tayari ushatukana katika ulimwengu wa roho.
Kwanini ufikirie kumtukana mtu ama kumfanyia ubaya ilihali tumeambiwa tuwasamehe wakosaji wetu?
Unakasirika nini? Jua kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
ccm kiboko mbona Nyalandu anaiweka kama yeye ndio amefanya hiyo connection? Halafu kibaya zaidi gambo ndio anaiweka kama serikali imefanya la zoezi zima? Wonders shall never end!Fanya tafiti kabla hujaanzisha uzi,
Hao wazungu waliowapeleka huko USA ni mashuhuda waliofika eneo la tukio punde baada ya ajali kutokea ndiyo wakaguswa kuwasaidia wahanga waliobaki hai.
Nyalandu ndio aliwaleta hao wazungu hawajaletwa Na ukawa au yule mropokaji god bless lema aliyetapeli wamarekani eti kuna hospital ya Mama Na mtoto inajengwa jimbo Lake hadi leo hii pori kala pesa Za wamarekani hamna cha hospital wala nini pori tu hadi leo .Tapeli mkubwa hati ya kiwanja kaandika Jina la mkewe Kwa nini asiandike kwa jina la manispaa au hata la Chadema? Tujue ni mali Ya umma si binafsiccm kiboko mbona Nyalandu anaiweka kama yeye ndio amefanya hiyo connection? Halafu kibaya zaidi gambo ndio anaiweka kama serikali imefanya la zoezi zima? Wonders shall never end!
Wkt rambirambi tu wanatolea machoInasemekana wamepelekwa marekani kwa msaada wa wazungu au wamarekani wenyewe. Ni wazungu waliowahi kufika eneo la tukio watoto walipopata ajali, ndo wametafuta msaada na kuwapeleka watoto marekani. Nadhani unauliza hayo maswali kwa kudhani serikali ndo imegharamia.
Kuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema zake na Upendo usio kifani. Ameruhusu lililotokea litokee.
Inafurahisha pia kuona jitihada za kunusuru maisha ya majeruhi watatu (sijui ni jitihada za nani lakini hilo si muhimu); lakini nina maswali mengi kichwani na si hitaji majibu kwa yote bali kwa kililo/yaliyo makuu. Nayo ni:
1. Kwa nini wapelekwe USA na kwingineko ambako kunaweza kuwa cheaper?
2. Hivi ni kweli kuwa majeruhi hawa wasingeweza kutibiwa hapa hapa kwetu au Kenya kwa majirani zetu?
3. Je, yawezekana ni kweli kuwa hadi leo Tanzania na nchi majirani hazina uwezo kabisa wa ku deal na serious cases kama hizi (yaani kama hizi serious xases)?
4. Je, yawezekana huu ni uwekezaji mkubwa kwenye siasa za 2020?
Mpango huu ubaweza kuwa na maswali mengi bila majibu ya kutosha lakini jitihada hizi ni za kupongezwa sana; yote katika yote, hawa watoto wanahitaji medical attention iliyo makini sana na tuwatakie safari njema na hatimaye siku moja hali zao zitakapokuwa zimeimarika zaidi Mungu awarudishe salama nyumbani.
Hii ni fursa tu iliyojitokeza, vinginevyo wangeweza kutibiwa hata muhimbili. Maswali yako mengine hayana maantiki sababu huu ni msaada tu toka kwa hao good samaritans na maswali yako yasingekuwepo leo kama ungetafiti kwanza kujua nani anagharimia safari nzima ya tiba ya hawa watoto majeruhi huko USA japokuwa mwenyewe umetangulia kusema kuwa hilo sio la muhimu.Kuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema zake na Upendo usio kifani. Ameruhusu lililotokea litokee.
Inafurahisha pia kuona jitihada za kunusuru maisha ya majeruhi watatu (sijui ni jitihada za nani lakini hilo si muhimu); lakini nina maswali mengi kichwani na si hitaji majibu kwa yote bali kwa kililo/yaliyo makuu. Nayo ni:
1. Kwa nini wapelekwe USA na kwingineko ambako kunaweza kuwa cheaper?
2. Hivi ni kweli kuwa majeruhi hawa wasingeweza kutibiwa hapa hapa kwetu au Kenya kwa majirani zetu?
3. Je, yawezekana ni kweli kuwa hadi leo Tanzania na nchi majirani hazina uwezo kabisa wa ku deal na serious cases kama hizi (yaani kama hizi serious xases)?
4. Je, yawezekana huu ni uwekezaji mkubwa kwenye siasa za 2020?
Mpango huu ubaweza kuwa na maswali mengi bila majibu ya kutosha lakini jitihada hizi ni za kupongezwa sana; yote katika yote, hawa watoto wanahitaji medical attention iliyo makini sana na tuwatakie safari njema na hatimaye siku moja hali zao zitakapokuwa zimeimarika zaidi Mungu awarudishe salama nyumbani.
Ndugu hivi unaelewa kidogo juu ya biology hasa mfumo wa neva za fahamu, (neuro' surgery) hawa machalii wanatakiwa kufanyiwa upasuaji mkubwa mno katika maeneo mbalimbali ya miili yao ikiwemo mgogo unaohusisha mfumo wa fahamu, walivunjika vibaya mno, kwa africa sina uhakika km kuna specialists wenye ujuzi mkubwa na technolojia ya kuwahudumia kwa kiwango cha kupona kabisa na kurudia hali yao ya kawaida.Kuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema zake na Upendo usio kifani. Ameruhusu lililotokea litokee.
Inafurahisha pia kuona jitihada za kunusuru maisha ya majeruhi watatu (sijui ni jitihada za nani lakini hilo si muhimu); lakini nina maswali mengi kichwani na si hitaji majibu kwa yote bali kwa kililo/yaliyo makuu. Nayo ni:
1. Kwa nini wapelekwe USA na kwingineko ambako kunaweza kuwa cheaper?
2. Hivi ni kweli kuwa majeruhi hawa wasingeweza kutibiwa hapa hapa kwetu au Kenya kwa majirani zetu?
3. Je, yawezekana ni kweli kuwa hadi leo Tanzania na nchi majirani hazina uwezo kabisa wa ku deal na serious cases kama hizi (yaani kama hizi serious xases)?
4. Je, yawezekana huu ni uwekezaji mkubwa kwenye siasa za 2020?
Mpango huu ubaweza kuwa na maswali mengi bila majibu ya kutosha lakini jitihada hizi ni za kupongezwa sana; yote katika yote, hawa watoto wanahitaji medical attention iliyo makini sana na tuwatakie safari njema na hatimaye siku moja hali zao zitakapokuwa zimeimarika zaidi Mungu awarudishe salama nyumbani.
Mpumbavu mkubwa wee!! Kuna matibabu hapa!!!!Kuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema zake na Upendo usio kifani. Ameruhusu lililotokea litokee.

Sio kweli, wenzetu wanajali sana vya kwao na mara nyingi misaada wanayoitoa 80% hurudi kwao, pia wanatufahamu vizuri waafrika wangetuambia tutafute hospital na Doctors wazuri wao watagharimia, huchelewi kusikia costs ni billions of money tena at very low quality, so ni bora hizo hela wakazile wenyewe. Just imagine kama rambirambi tu zinaliwa itakuwa fedha za misaada?Ni kiki za siasa tu.Napata ujumbe ufuatao kwenye hii safari ya Marekani
1.Wanasiasa ni kila kitu yani hata udaktari wanaweza na ndio mana wameamua wao watoto wakatibiwe Marekani
2.Wanasiasa hawaamini utaalamu wa afya unaokua practised Tamzania na ndio mana haikua kwenye akili zao kujaribu kuwatibu hapa kwetu
3.Siasa ni ujinga na ndio maana ajali imetokea siku nyingi majeruhi wanapelekwa hospitali siku nyingi baadae kupelekea tukio zima kubeba dhana ya kiki kuliko matibab
Wewe ni mpumbavu!!!!Pole sana kwa maumivu uliyoyapata mpaka kuamua kurusha matusi. Kama ungesoma uzi vizuri ungekuwa na lugha ya kistaarabu zaidi.
Pole sana ndugu kwa kufikia kiwango cha chini jinsi hiyo!Wewe ni mpumbavu!!!!
My good friend, your level of appreciation of things seems to be diminishing.Kuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehema zake na Upendo usio kifani. Ameruhusu lililotokea litokee.