Kupeleka majeruhi USA, Jambo JEMA sana lakini...

Acha roho mbaya,waache watoto wakapate matibabu bora kabisa duniani,au unataka wawe walemavu ili kesho ulaumu serikali ya ccm kuwa haikufanya juhudi za kuwapa matibabu bora.
 
yapasa kumpa shukrani Mungu hata kwa madogo mimi nashukuru mungu matusi Ya nguoni niliyokuwa nayo Ya kumtukana mleta mada sijayatoa kwangu sio jambo dogo huyu mleta mada ningemporomoshea mitusi ya nguoni asingelala. Mungu kanipa uvumilivu
 
Fanya tafiti kabla hujaanzisha uzi,

Hao wazungu waliowapeleka huko USA ni mashuhuda waliofika eneo la tukio punde baada ya ajali kutokea ndiyo wakaguswa kuwasaidia wahanga waliobaki hai.
ccm kiboko mbona Nyalandu anaiweka kama yeye ndio amefanya hiyo connection? Halafu kibaya zaidi gambo ndio anaiweka kama serikali imefanya la zoezi zima? Wonders shall never end!
 
Wale zaungu ndo wamewapeleka kwenye hospital wanayofanyia kazi huko America ,hili ni jambo jema maana hawa watoto wanaitaji maeneo tofauti ili wameze kuondokana na psychological effect ambao wame experience
 
Mimi navyofahamu, ni Serikiali ndio inagharamia kila kitu, kama ambavyo ilifanya kule Kagera wakati wa tetemeko japo haikulileta hilo tetemeko.
 
ccm kiboko mbona Nyalandu anaiweka kama yeye ndio amefanya hiyo connection? Halafu kibaya zaidi gambo ndio anaiweka kama serikali imefanya la zoezi zima? Wonders shall never end!
Nyalandu ndio aliwaleta hao wazungu hawajaletwa Na ukawa au yule mropokaji god bless lema aliyetapeli wamarekani eti kuna hospital ya Mama Na mtoto inajengwa jimbo Lake hadi leo hii pori kala pesa Za wamarekani hamna cha hospital wala nini pori tu hadi leo .Tapeli mkubwa hati ya kiwanja kaandika Jina la mkewe Kwa nini asiandike kwa jina la manispaa au hata la Chadema? Tujue ni mali Ya umma si binafsi
 
Wkt rambirambi tu wanatolea macho
 

wachawi bana


wale wazungu walioshuhudia ajali ndio wamefanya yote haya
 
Hii ni fursa tu iliyojitokeza, vinginevyo wangeweza kutibiwa hata muhimbili. Maswali yako mengine hayana maantiki sababu huu ni msaada tu toka kwa hao good samaritans na maswali yako yasingekuwepo leo kama ungetafiti kwanza kujua nani anagharimia safari nzima ya tiba ya hawa watoto majeruhi huko USA japokuwa mwenyewe umetangulia kusema kuwa hilo sio la muhimu.
 
Ndugu hivi unaelewa kidogo juu ya biology hasa mfumo wa neva za fahamu, (neuro' surgery) hawa machalii wanatakiwa kufanyiwa upasuaji mkubwa mno katika maeneo mbalimbali ya miili yao ikiwemo mgogo unaohusisha mfumo wa fahamu, walivunjika vibaya mno, kwa africa sina uhakika km kuna specialists wenye ujuzi mkubwa na technolojia ya kuwahudumia kwa kiwango cha kupona kabisa na kurudia hali yao ya kawaida.

Leteni kejeli ila kwa hili hawa wazungu ni wakupongeza aisei.
 
Mpumbavu mkubwa wee!! Kuna matibabu hapa!!!!
 
Mpumbavu mkubwa wee!! Kuna matibabu hapa!!!!
Unataka wafe ndiyo uamini!!!
 
Sio kweli, wenzetu wanajali sana vya kwao na mara nyingi misaada wanayoitoa 80% hurudi kwao, pia wanatufahamu vizuri waafrika wangetuambia tutafute hospital na Doctors wazuri wao watagharimia, huchelewi kusikia costs ni billions of money tena at very low quality, so ni bora hizo hela wakazile wenyewe. Just imagine kama rambirambi tu zinaliwa itakuwa fedha za misaada?
 
Sion tatizo hata kama ingekua serikali, jamani kutib watu sio jambo baya
 
Nyalandu and US connection.

Naangalia filamu ya French Connection hivi sasa ya mzee Gene Hackman akihangaika.

Mungu awajaalie watoto wetu afya njema wapate matibabu bora kabisa na wapone haraka warudi Tanzania kuendelea na masomo yao.
 
My good friend, your level of appreciation of things seems to be diminishing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…