Kupelekwa mortuary kwa mtu hai, ni kosa la daktari

Kupelekwa mortuary kwa mtu hai, ni kosa la daktari

Ndio unakufa kifo orijino sasa..[emoji17] [emoji17]
Huu ni uzembe kweli tena wa hali ya juu lakin yote hii inaendeshwa na kutokuwa serious katika kazi

Ifike muda watu wakiri sio kada za medical tu bali kada zote zinaendeshwa kiblabla sana now days na nahisi ukijua kinachotokea tena ww ndo uwe mhusika itakuumiza sana

Na hii sio nchi yetu tu no hata nchi za wenzetu ipo sana na inachangiwa na tuseme maendeleo ya technologia.

nnachikisema nakijua na kuna kifo kimoja kimoja kiliwahi kutokea sisemi daktar angeweza kuzuia hapana ila dr alivyo m attend mgonjwa mmmh kwanza alikuwa na smartphone mkono mmoja halaf kama anasoma message za group
 
Ungekijua usingeandika hizo blanda do you know the mechanism of death and dieing
mkuu itategemea amekufaje, kwa radi, kuzama maji, kaliwa na simba, kaaguka juu ya mti, ame suffocate, kagongwa, nk. ulikuwa una maana gani kuhusu swali hili? mfano yule mtoto hakuwa amelazwa wodini, kaletwa tu kutoka mtaani, alichotakiwa kufanya daktari ni kuthibisha waliokufa na waliohai basi. Hakukua na haja ya kueleza the dieing process and mechanism.
 
Ukitazama kwa undan saana kwa ss wa kristo Tunaamini kuna [HASHTAG]#nguvu[/HASHTAG] za giza hapo unaweza ukaona daktari unafanya vipimo vyako kwa usahihi kabisa lakin mwishon yanatokea

Kwan hamjaona ile ya mtu kuzikwa halafu kesho anaonekana mtaani kwan mzikaji hakuzika vizurii
 
Huu ni uzembe kweli tena wa hali ya juu lakin yote hii inaendeshwa na kutokuwa serious katika kazi

Ifike muda watu wakiri sio kada za medical tu bali kada zote zinaendeshwa kiblabla sana now days na nahisi ukijua kinachotokea tena ww ndo uwe mhusika itakuumiza sana

Na hii sio nchi yetu tu no hata nchi za wenzetu ipo sana na inachangiwa na tuseme maendeleo ya technologia.

nnachikisema nakijua na kuna kifo kimoja kimoja kiliwahi kutokea sisemi daktar angeweza kuzuia hapana ila dr alivyo m attend mgonjwa mmmh kwanza alikuwa na smartphone mkono mmoja halaf kama anasoma message za group
Acha kujichanganya ',, smartphone ilisababisha kifo??
 
Acha kujichanganya ',, smartphone ilisababisha kifo??
Mkuu kuna kauli moja nimeisema hapo kwamba SISEMI DR ANGEWEZA KUZUIA ila jinsi alivyo m attend ndo shida mkuu

hiyo issue ni kukosa umakini huwez ku m attend mgonjwa ukiwa whatsup group hapo c ndo utasema kafa kumbe sio
 
Acha mbwembwe,, ingekuwa rahis hivyo,, wote icu wangeenda motury
Siku hizi tuna google mzee kaeni chonjo na sheria zipo, iko siku wagonjwa watakataa kutibiwa na mtu asiyekuwa specialist. Ile habari ya marehemu hana haki itakuja kukoma
 
Wengi tu ufia Mortuary watu wanaingizwa ndani kwenye yale majokofu,

ya kuhifadhia maiti wakati baridi inapopuliza vizuri mambo ubadilika,

wakati mnaenda kuchukua maiti unakuta imegeuka au wakati mwingine ,

imekunja mikono na miguu kana kwamba huyo mtu alihitaji msaada fulani,

ni vizuri kujiridhisha kabla mtu hajapelekwa Mortuary.
 
Siku hizi tuna google mzee kaeni chonjo na sheria zipo, iko siku wagonjwa watakataa kutibiwa na mtu asiyekuwa specialist.
kosa kubwa sana la wagonjwa wa siku hizi unagoogle bas nenda kagoogle kila kitu sasa i hate this issue
 
Kwa tukio la panya road kosa ni la daktari ila mtaani watasema kosa ni la raiya waliofanya hiyo mob justice.
 
unaweza ukapima vyote hvyo ulivyotaja vikawa negative lakin mgonjwa akawa hajafariki bado,unalifahamu hilo?
Ok kama ni hivyo tufanyeje sasa mkuu ili tupunguze uwezekano wa ku diagnose death na kupeleka wazima mortuary? tupewe kipimo gani na waajiri watu ili kupunguza makosa ya kiufundi ya aina hii?
 
mkuu huyo kijana kwa maelezo alioyatoa hafaham definition ya death...
easy!! ngoja ni google au nisome Snell yangu
mkuu huyo kijana kwa maelezo alioyatoa hafaham definition ya death...
Death is the irreversible cessation of ALL vital functions especially as indicated by permanent stoppage of the heart, respiration, and brain activity. Any question?
 
ukifika clinical naamin mambo yatakua poa..kwa sasa endelea kupiga book
 
samahan mkuu ww ni doctor?
Sio mkuu mimi naonyesha tu namna nguvu ya google inavyoweza kufanya kazi. Jamii yetu ya sasa sio kama ile ya wazee wetu ambao hata ukimywesha usol ukasema ni dawa ya kilohozi hawezi kuhoji. Tujiandae kwa kujiongeza kitaaluma na kufuata viapo vya taaluma zetu tulivyoachiwa na akina Socret na Hypocrite
 
ukifika clinical naamin mambo yatakua poa..kwa sasa endelea kupiga book
Tubadilike hata kama nini bana! mimi sio mwanafunzi wala mtu wa afya, na google tu bro, but prevention is better than cure. Haingii akilini mtu wa kichwa akapusuliwa mguu na wa mguu akapasuliwa kichwa eti kwa sababu wanafanana majina yao, lakini ndugu zao wakanyamaza kinya bila kudai fidia
 
mkuu huyo kijana kwa maelezo alioyatoa hafaham definition ya death...
Mkuu ngoja tuokoe jahazi kwa kutoa darasa kwa wana jf ili wote wafahamu namna ya kumfahamu aliyekufa

Diagnosis of death:

The official signs of death include the following:
  • no pupil (mboni-dirisha) reaction to light
  • no response of the eyes to caloric (warm or cold) stimulation
  • no jaw reflex (the jaw will react like the knee if hit with a reflex hammer)
  • no gag reflex (touching the back of the throat induces vomiting)
  • no response to pain
  • no breathing
  • a body temperature above 86 °F (30 °C), which eliminates the possibility of resuscitation following cold-water drowning
  • no other cause for the above, such as a head injury
  • no drugs present in the body that could cause apparent death
  • all of the above for 12 hours
  • all of the above for six hours and a flat-line electroencephalogram (brain wave study)
  • no blood circulating to the brain, as demonstrated by angiography
Tuwape nini ili mtimize haya?
ukifika clinical naamin mambo yatakua poa..kwa sasa endelea kupiga book
 
Back
Top Bottom