Kupelekwa mortuary kwa mtu hai, ni kosa la daktari

Kupelekwa mortuary kwa mtu hai, ni kosa la daktari

Acha mbwembwe,, ingekuwa rahis hivyo,, wote icu wangeenda motury
Huyu binadam simuelew any way jamiiforums ndo sehem pekee mtu anajua kila kitu mtu 1 anaweza kuwa inginia daktar mwalim askar usalama wa taifa ruban geologist driver mwanasheria acha atambe tu
 
mkuu itategemea amekufaje, kwa radi, kuzama maji, kaliwa na simba, kaaguka juu ya mti, ame suffocate, kagongwa, nk. ulikuwa una maana gani kuhusu swali hili? mfano yule mtoto hakuwa amelazwa wodini, kaletwa tu kutoka mtaani, alichotakiwa kufanya daktari ni kuthibisha waliokufa na waliohai basi. Hakukua na haja ya kueleza the dieing process and mechanism.
Naomba kujua taaluma yako mkuu ili tuongee lugha tutakayo elewana
 
Harudiii,,, anitofautishie stage 6 na 7
mambo ya kukariri ayo. sisi tunauliza ni nani kapeleka mtoto aliyezimia mortuary wewe unasema stage 6 na 7 ya kufa. Nikikuuliza kazi ya brain sterm katika hatua za kukata roho si utachanganyikiwa ww.
 
Ni kweli hii nibtaaluma ya watu na mm si muuguzi au daktari ila bado kuna kaukweli juu ya uzembe wa kudeclare mtu kafa kumbe hajafa. Japo ni case chache
 
aaah kaka hufahamu vipimo anavyostahili mgonjwa kuthibitisha kuwa amekufa? uganga gani huu jamani. Ngoja nikukumbushe basi hapa. Pima/chukua mapigo ya moyo (yapo hayapo) kwa kutumia hicho mnachotundika shingoni mwenu kwa kutafuta ujiko, pima pulse rate (zipo hazipo?) kwa kutumia vidole vyako juu ya mshipa mkubwa wa damu wa artery, chest movements (anahema hahemi?) kwa kutumia macho yako, mboni za macho (pupils) reaction to light kwa kutumia mwanga tu wa tochi., Je mboni ziko widely dilated or constricted, je zinabehave vipi ukizimulika na tochi. Usifanye haraka kusema kafa kama hazipo, rudia tena baada ya nusu saa hivi bado hazipo?. Kaka upo, hivyo sio vipimo? be serious with your work. Lupango tu nyie tumechoka kuonewa na vihiyo!!! kama umelewa viroba huwezi kusikia wala kuona kitu hata kama ukichukua hizi vital signs za mgonjwa, utakimbilia kafa, na vile umeambiwa ni panya road!!
Ayse mkuu umeelezea vizuri sana kama hajaelewa na yeye ni mfu hai
 
Ayse mkuu umeelezea vizuri sana kama hajaelewa na yeye ni mfu hai
Mkuu njia kuu ya kujifunza ni kupenda kusikiliza/kusoma mawazo ya wengine zaidi na kukubali kukosolewa kuliko kupenda kuwa defensive na kusema/kuandika sana vya kwako. Jf ina wadau wengi wa level, uzoefu na exposures tofauti, ukiamua utajifunza mengi sana kupitia kwao humu.
 
Back
Top Bottom