Kupelekwa mortuary kwa mtu hai, ni kosa la daktari

Acha mbwembwe,, ingekuwa rahis hivyo,, wote icu wangeenda motury
Huyu binadam simuelew any way jamiiforums ndo sehem pekee mtu anajua kila kitu mtu 1 anaweza kuwa inginia daktar mwalim askar usalama wa taifa ruban geologist driver mwanasheria acha atambe tu
 
Naomba kujua taaluma yako mkuu ili tuongee lugha tutakayo elewana
 
Harudiii,,, anitofautishie stage 6 na 7
mambo ya kukariri ayo. sisi tunauliza ni nani kapeleka mtoto aliyezimia mortuary wewe unasema stage 6 na 7 ya kufa. Nikikuuliza kazi ya brain sterm katika hatua za kukata roho si utachanganyikiwa ww.
 
Ni kweli hii nibtaaluma ya watu na mm si muuguzi au daktari ila bado kuna kaukweli juu ya uzembe wa kudeclare mtu kafa kumbe hajafa. Japo ni case chache
 
Ayse mkuu umeelezea vizuri sana kama hajaelewa na yeye ni mfu hai
 
Ayse mkuu umeelezea vizuri sana kama hajaelewa na yeye ni mfu hai
Mkuu njia kuu ya kujifunza ni kupenda kusikiliza/kusoma mawazo ya wengine zaidi na kukubali kukosolewa kuliko kupenda kuwa defensive na kusema/kuandika sana vya kwako. Jf ina wadau wengi wa level, uzoefu na exposures tofauti, ukiamua utajifunza mengi sana kupitia kwao humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…