Samahani kwa kuvamia jukwaa ambalo halinihusu, ila huyu bado ana ugonjwa wa facebook. maana juzi alikuPM waziri na leo unataka kupigwa mpini na boyfriend wa zamani, kwa kifupi jina lako halisi wewe ni Malaya au kahaba.
SAIGON MKUU, Kwanza samahani ikiwa nimevamia ugomvi usionihusu na wala sitaki niwe Hakimu wa Ibilisi (Devil's Judge) kati yako na na huyu binti, lakini yale ya juzi yalishaisha na sioni sababu ya kuendelea kumnanga hasa kwa lugha ya kashfa hasa kwakutilia maanani kuwa hapa ni MMU ndani ya JF.
Hajakuomba umtathmini bali kauliza swali apewe jibu na siyo matusi.Kwani kama umekerwa na swali lake, kuliko kumvunjia heshima yake si ungenyamza ingetosha?
unapokufa
And that's why i don't believe the friendship between the EX'SThat's it!...
tusidanganyane eti yanakufa.
Yanapungua tu. Hata kama mtu alikutenda vipi,
akibonyeza right buttons, kuna sparks zitachoma tu!
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu ya zamani. Yeye ameoa tayari na mimi nina mchumba, lakini nakiri kuwa bado nampenda, sijui ni lini atanitoka moyoni mwangu.
Hii huwa ndio inakuwa ngumu kwa wengine anakwambia hawezi kumuacha sijui blah blah blahWe can't live all of our life stormed with the past. Though it is easy to forgive and difficult to forget, the past must remain in our archives.
Live the present and think of the future.
You can say that againKupenda kwa unayempenda kunaisha ukitendwa.
Word...Kama mlipendana sana kama walivyosema wachangiaji wengi mapenzi kati yenu huwa hayaishi.
Hapo wengi wao huwa wagumu sana ku-resistAkikuomba penzi utamnyima? Je wewe ni muaminifu kiasi gani kwa mpenzio? Nasjaz naomba jibu tafadhali.
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu ya zamani. Yeye ameoa tayari na mimi nina mchumba, lakini nakiri kuwa bado nampenda, sijui ni lini atanitoka moyoni mwangu.
Kama mlipendana sana kama walivyosema wachangiaji wengi mapenzi kati yenu huwa hayaishi.
Hii huwa ndio inakuwa ngumu kwa wengine anakwambia hawezi kumuacha sijui blah blah blah
Ikiwa mlipendana kwa dhati ilikuwaje mkawachana? Bila shaka kunaweza kubakia kumbukumbu za mazuri mlokuwa mnatendeana, lakini maudhi yalikuwa makubwa kiasi cha kuwachana. Sasa hii tabia "nataka sitaki" ndo inayonishangaza. Kama ametapika, asirejee kulamba, hasa kwa huyu ambaye tayari ameshaoa.Kama mlipendana sana kama walivyosema wachangiaji wengi mapenzi kati yenu huwa hayaishi.
Na jamaa kama alikuwa anapiga gemu vizuri basi hapo lazima watakumbushiana tuShauri ya kutokujiamini.
Ikiwa mlipendana kwa dhati ilikuwaje mkawachana? Bila shaka kunaweza kubakia kumbukumbu za mazuri mlokuwa mnatendeana, lakini maudhi yalikuwa makubwa kiasi cha kuwachana. Sasa hii tabia "nataka sitaki" ndo inayonishangaza. Kama ametapika, asirejee kulamba, hasa kwa huyu ambaye tayari ameshaoa.