Kupenda kunaisha lini?

Kupenda kunaisha lini?

Samahani kwa kuvamia jukwaa ambalo halinihusu, ila huyu bado ana ugonjwa wa facebook. maana juzi alikuPM waziri na leo unataka kupigwa mpini na boyfriend wa zamani, kwa kifupi jina lako halisi wewe ni Malaya au kahaba.

UVUMILIVU WA KISIASA NI LUGHA ITOKAYO MDOMONI MWA ZUZU, HUKU AKIZANI ANAOWAAMBIA NI MAZUZU WENZAKE.:banplease:
 
SAIGON MKUU, Kwanza samahani ikiwa nimevamia ugomvi usionihusu na wala sitaki niwe Hakimu wa Ibilisi (Devil's Judge) kati yako na na huyu binti, lakini yale ya juzi yalishaisha na sioni sababu ya kuendelea kumnanga hasa kwa lugha ya kashfa hasa kwakutilia maanani kuwa hapa ni MMU ndani ya JF.

Nilishaomba samahani kwamba nimevamia jukwaa, huko mimi sio type yangu, nawaombea mjadala mwema endeleeni tu wakuu.
 
That's it!...
tusidanganyane eti yanakufa.
Yanapungua tu. Hata kama mtu alikutenda vipi,
akibonyeza right buttons, kuna sparks zitachoma tu!
And that's why i don't believe the friendship between the EX'S
 
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu ya zamani. Yeye ameoa tayari na mimi nina mchumba, lakini nakiri kuwa bado nampenda, sijui ni lini atanitoka moyoni mwangu.

Haya hutokea,lakini iaelekea utakuwa ukiicheat sana ndoa yako tarajiwa.
 
We can't live all of our life stormed with the past. Though it is easy to forgive and difficult to forget, the past must remain in our archives.
Live the present and think of the future.
 
We can't live all of our life stormed with the past. Though it is easy to forgive and difficult to forget, the past must remain in our archives.
Live the present and think of the future.
Hii huwa ndio inakuwa ngumu kwa wengine anakwambia hawezi kumuacha sijui blah blah blah
 
Kama mlipendana sana kama walivyosema wachangiaji wengi mapenzi kati yenu huwa hayaishi.
 
Leo nimekutana na boyfrendi wangu wa zamani. Tuliachana tukiwa form six mwaka 98. Nilipopeana nae mkono kwa ajili ya kumsalimia nikajikuta kama nimepigwa shoti ya umeme. Nikayakumbuka mapenzi yetu ya zamani. Yeye ameoa tayari na mimi nina mchumba, lakini nakiri kuwa bado nampenda, sijui ni lini atanitoka moyoni mwangu.

Sorry,ila napenda sana hesabu:-
Assume,..
1998 i was 21 na nilikua na boy friend
leo,2011,nina mchumba,.
2011-1998=13

Kama ilinichukua miaka 13 kuwa na mchumba,kadiria itachukua miaka mingapi kuolewa!

Duh,kama vipi kumbushia afu uwe mke wa pili basi
 
Kama mlipendana sana kama walivyosema wachangiaji wengi mapenzi kati yenu huwa hayaishi.

No wonder kamubiri all that time,ila amsahau tu otherwise atakua shetani kwa kumfanya jamaa avunje ndoa yake!
Wala hata asiwaze kukumbushia,....
 
Hii huwa ndio inakuwa ngumu kwa wengine anakwambia hawezi kumuacha sijui blah blah blah

Shauri ya kutokujiamini.
Kama mlipendana sana kama walivyosema wachangiaji wengi mapenzi kati yenu huwa hayaishi.
Ikiwa mlipendana kwa dhati ilikuwaje mkawachana? Bila shaka kunaweza kubakia kumbukumbu za mazuri mlokuwa mnatendeana, lakini maudhi yalikuwa makubwa kiasi cha kuwachana. Sasa hii tabia "nataka sitaki" ndo inayonishangaza. Kama ametapika, asirejee kulamba, hasa kwa huyu ambaye tayari ameshaoa.
 
Upendo ni kitu natural my dear huwa hakiishi, tamaa ndizo zinatusumbua then tunasema kupenda, neno upendo lina nguvu sana kuliko tunavyofikiria
 
Hayo si mapenzi bali unatamani yale mliyokuwa mkifanya,mlaani shetani usonge mbele la sivyo utamegwa milele kama nyumba ndogo.
 
Shauri ya kutokujiamini.

Ikiwa mlipendana kwa dhati ilikuwaje mkawachana? Bila shaka kunaweza kubakia kumbukumbu za mazuri mlokuwa mnatendeana, lakini maudhi yalikuwa makubwa kiasi cha kuwachana. Sasa hii tabia "nataka sitaki" ndo inayonishangaza. Kama ametapika, asirejee kulamba, hasa kwa huyu ambaye tayari ameshaoa.
Na jamaa kama alikuwa anapiga gemu vizuri basi hapo lazima watakumbushiana tu
 
Back
Top Bottom