Kupenda kupitiliza ni hatari ya kujitakia

Ukweli ni kwamba Mungu mwenyewe aliweka kitu kinachoitwa love/upendo kwa viumbe wote ili iwepe furaha na amani ndio maana kama umewahi bahatika kuishi na mtu mliopendana kweli kuna raha ambayo unaipata hakuna mfano,kwanza unakuwa ni mtu wa furaha,moyo wako hauna vinyongo wala chuki,amani ya moyo,utulivu wa akili kiufupi love ni dawa ya majanga yote haya yanayotokea duniani

ila shida ilikuja pale watu walipo anza kutumia love kwa mambo yao binafsi na wengine wakaenda mbali wakaingiza vigezo vya mtu kupendwa au kumpenda mtu
mara sijui uwe na pesa,uwe mrefu,uwe na shepu namba nane,uvae nguo fulani,sijui uweke nywele mtindo fulani vigezo vyote hivyo ni kutokana na kupotea kwa upendo miongoni ya watu

Hii imepelekea watu kuanza kuweka vitu feki kwenye body zao na kufanya visivyompendeza Mungu yote hayo ni kutafuta true love lakini wapi bado mambo magumu kila siku binadamu tunajifunza ubinafsi na kuwa watu wa maslahi

Kwa Sasa wengine wemeshakata tamaa na true love kama mtoa mada hapo ameanza kuona true love ni kama virus furani hivi na kiukweli ukiangalia sasa kupenda now days imekuwa ni hasara ya maisha kutokana na ubinafsi kuzidi mioyoni miongoni ya watu

Hatakama Yote hayo haitabadilisha ukweli kwamba true love ipo na ndio dawa ya majanga yote hapa duniani😎
 
Ahsante mkuu kwa ujumbe murua kabisa sahivi tabu sana kumpata wa kupendananae kwa dhati mapenzi yanauma Sana!.
 
love is loaded gun,
(in extrovet voice)
hahahaha
 
Na ajue kuwa hakuna kanuni flani ya mahusiano. Something may work out kwa mtu A na kisi work kwa mtu B .
Mkuu ni muhimu kuwa na kiasi haswa ukishajua mapenzi ni nini!
 
Yani mapenzi sina hamu nayo
ila majority wamewahi kupitia hali hiyo.kama hakuumizwa basi aliumiza mtu!

inafanya mtu uwe unaingia kwenye mapenzi mapya kimachale..
ila moyo ni bahari unatest kina unashtukia unazama..
 
Ok we unayejua mapenzi hebu nieleze definition halisi ya mapenzi ambayo ni universal? Mapenzi ninini?
Kwa uelewa wangu mapenzi ni hisia za kuvutiana baina ya me na ke.. ambazo huwa zimeshikizwa na misingi ya uumbikaji wetu ama mahitaji yetu hivyo mvutano huo ama kuvutiwa huko hupelekea watu hao wawili kukubaliana kuhusiana kuwa na mahusiano ya kimapenzi.
 
Back
Top Bottom