Kupenda kupitiliza ni hatari ya kujitakia

Usimpende mtu mpaka 100% ni hatari kwa uhai.
ninachooamini unaweza fika hiyo 100% especially kwa wanawake,, ila my take is, akianza kuzingua jaribu kuenda nae taratibu huku ukipunguza asilimia ulizoweka hadi ifike at least 50%.. ukiona inazidi kupungua chini ya 50 ujue kuna anguko liko mbeleni

ukianguka ukiwa gorofa ya kwanza ni tofauti na kuanguka ukiwa gorofa ya 10...tafakari na uchukue hatua mapema.
 
🤣 Watu mnambinu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…