Kupenda ni mara moja tu, haya mahusiano mengine nikuigiziana tu!

Kupenda ni mara moja tu, haya mahusiano mengine nikuigiziana tu!

Kwa msichana, mtu aliyeondoa usichana wake ndiye mpenzi wake wa dhati. Hata akiolewa na mtu mwingine pendo lake bado lipo kwa yule wa mwanzo. Ndio maana kuna usemi kuwa "wanaume wengi tunaoa wake za watu" kama hukumkuta bikira basi basi ujue sio mke wako.
Sio kweli kabisa hii.
 
Huo ni uongo. Kama alibakwa?
 
Kwa msichana, mtu aliyeondoa usichana wake ndiye mpenzi wake wa dhati. Hata akiolewa na mtu mwingine pendo lake bado lipo kwa yule wa mwanzo. Ndio maana kuna usemi kuwa "wanaume wengi tunaoa wake za watu" kama hukumkuta bikira basi basi ujue sio mke wako.
Sio kwel hata
 
Kama nguvu na hisia za mapenzi zipo kupenda hakuna ukomo , mpka abdala kichwa wazi atakapo shusha majeshi chini.
 
Hujui chochote .mademu weng wanatolewa bikra sabab wamechoka kuwa nayo na wanataka kuanza mizagamuo haraka iwezekanavyo..so weng wanatolewa na random people..

Ila kuna wale ambao wanajitunza kusubiria the right person..hao nikwel akipata mtu anataka awe amempenda kwel na ndo anampa tunda hao ni kwel huwa hawamsahau huyo mtu .

Mim nilibahatika kuwa na huyo mtu niliemtoa bikra akiwa na miaka 20 chuo kikuu na ni pisi kal kwel..tulidum kwenye mahusiano karibia miaka 4 na tulikua tunavimbwanga kwelkwel..tunaachana na kurudiana kila siku..wivu uliopitiliza baina yetu...
Mwisho wa siku long distance ilikuja kutuachanisha..karibia miaka 11 imepita sasa tuko mbal mbal sana ila tunawasiliana mpaka leo na ukiona chat zetu unaweza hisi ni wapenz..na hajaolewa na mim sijaoa na umri wetu umekwenda kwel kwel.nakila mmoja ana mpenz wake..ila yeye ananambia anapitia mahusiano mabovu maisha yake yote tokea niachane nae na hana raha..ila ndo hvyo hatuwez tena kuwa pa1..tuko mbal mbal sana..different continents.
Ni hayo
Mwanamke kama huyu hata akiolewa na mfalme na akampa kila kigu siku mkikutama lazima mpeane tushelele!!!!
 
Back
Top Bottom