Kupenda penda kubaya

Kupenda penda kubaya

Na huko kupenda penda unaku-define vipi?

Kupenda penda ni kule kuwa na roho ya tamaa ya mapenzi. Moyo kuwa mwepesi kwa wale unaokutana nao na kujikuta unashindwa kujizuiya hadi unafikia kuomba nafasi ya kuwa mwenza wa mapenzi kwa watu hao au unabakia tu kuumiya ndani ya moyo kwa wale unaoshindwa kuwaambia. (yani leo umempenda huyu, kesho yule na kesho kutwa mwengine)
 
Kwahiyo wanaopenda kwa picha ndo wanapenda penda?Ina maana watu aina hiyo hawawezi kupenda mmoja tu?
 
mh! sijuwi mwenzangu umeshavaa jezi?
Ukiachana na hilo, ktk thread niliongelea wale wanaokithiri ktk staili hii. Na wala siyo wale wa mara moja au mbili
 
Back
Top Bottom