Mkwaruzo
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 563
- 98
- Thread starter
- #21
Na huko kupenda penda unaku-define vipi?
Kupenda penda ni kule kuwa na roho ya tamaa ya mapenzi. Moyo kuwa mwepesi kwa wale unaokutana nao na kujikuta unashindwa kujizuiya hadi unafikia kuomba nafasi ya kuwa mwenza wa mapenzi kwa watu hao au unabakia tu kuumiya ndani ya moyo kwa wale unaoshindwa kuwaambia. (yani leo umempenda huyu, kesho yule na kesho kutwa mwengine)