Kupenda sana Ngono kwanimaliza, Madokta nisaidieni

Kupenda sana Ngono kwanimaliza, Madokta nisaidieni

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Habarini Madokta wazuri na washauri makini wa Jukwaa hili. Jamani naomba mnisaidie jambo moja nyeti sana. "Hamu ya Kupenda Sana Kufanya Ngono".

Hii kitu inanifanya nisiweze kudumu na mpenzi mmoja,kwani namkinai mapema.

Sasa nilikuwa nauliza.
1. Ni Ugonjwa au ni hamu zangu tu?

2. Kama ni Ugonjwa,dawa gani itanitibu na kama ni hamu zangu,nitumie nini ili uache kunisumbua?

Jamani niko Serious. Naomba kama wewe unaijua tiba ya ugonjwa huu au kuna Daktari unamfahamu ambae ataweza nitibu, p'se nisaidie.

Maana ninakoelekea nitaota Sugu, mweee!

Angalizo:
NITAIFUATA TIBA YAKO POPOTE PALE NCHINI TANZANIA

Huyo ni Rafiki yangu kanituma nimuombee Ushauri, maana yeye si member wa JF
 
Habarini Madokta wazuri na washauri makini wa Jukwaa hili.
Jamani naomba mnisaidie jambo moja nyeti sana.
"Hamu ya Kupenda Sana Kufanya Ngono".

Hii kitu inanifanya nisiweze kudumu na mpenzi mmoja,kwani namkinai mapema.

Sasa nilikuwa nauliza.
1. Ni Ugonjwa au ni hamu zangu tu?

2. Kama ni Ugonjwa,dawa gani itanitibu na kama ni hamu zangu,nitumie nini ili uache kunisumbua?
Jamani niko Serious.
Naomba kama wewe unaijua tiba ya ugonjwa huu au kuna Daktari unamfahamu ambae ataweza nitibu, p'se nisaidie.
Maana ninakoelekea nitaota Sugu, mweee!!!!

Angalizo:
NITAIFUATA TIBA YAKO POPOTE PALE NCHINI TANZANIA

Unajua kweli ulichokianzisha we Madame B?

Ngoja basi Dr. Ngabu akueleze tatizo lako.

Wewe unasumbuliwa na nymphomania. Mpaka sasa hakuna tiba inayokubalika rasmi, licha ya hivyo, mimi Dr. Ngabu ninafanya utafiti utakaopelekea kupata tiba yake.

Ofisi na maabara zangu zipo hapa Yombo karibu na tambuka reli. Saa zangu za kazi ni kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni, Jumatatu hadi Ijumaa na ninapokea wagonjwa wapya bila rufaa.

Unakaribishwa kwa moyo mkunjufu kabisa na ondoa kimuyemuye kwani mimi ni daktari mzoefu na tiba zangu ni za bei nafuu. Hivyo, hata kama ujira wako ni wa kijungujiko usiwe na shaka.

Karibu sana.
 
hahahaha! nilitegemea kabisa kukutana na hayo maneno hapo chini..BTW mdirect kwa mzizimkavu..
 
Hamu kubwa sana ya kufanya ngono kwa maoni yangu si tatizo kama ungekuwa unafanya na mtu yule yule, tatizo linakuja pale unapomkinai mpenzi na kutaka mpenzi mpya kila baada ya muda mfupi na haya magonjwa ya siku hizi basi ni rahisi kugusa mawayawaya.

Nadhani zipo dawa za kupunguza libido lakini uwe extra careful zisiondoe hamu kabisa na labda kukuletea matatizo mengine ya kiafya kutokana na negative side effects za hizo dawa. Kila la heri.
 
Kuna dawa ya kukufanya ukinai "forever".baki na mpenzi mmoja
 
Unajua kweli ulichokianzisha we Madame B?

Ngoja basi Dr. Ngabu akueleze tatizo lako.

Wewe unasumbuliwa na nymphomania. Mpaka sasa hakuna tiba inayokubalika rasmi, licha ya hivyo, mimi Dr. Ngabu ninafanya utafiti utakaopelekea kupata tiba yake.

Ofisi na maabara zangu zipo hapa Yombo karibu na tambuka reli. Saa zangu za kazi ni kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni, Jumatatu hadi Ijumaa na ninapokea wagonjwa wapya bila rufaa.

Unakaribishwa kwa moyo mkunjufu kabisa na ondoa kimuyemuye kwani mimi ni daktari mzoefu na tiba zangu ni za bei nafuu. Hivyo, hata kama ujira wako ni wa kijungujiko usiwe na shaka.

Karibu sana.

Mh!
Moyo wangu unapwitapwita Nyani Ngabu.
Rafiki yangu atarudi na roho yake kweli?
Haya, ngoja nikamweleze.
 
Last edited by a moderator:
Hamu kubwa sana ya kufanya ngono kwa maoni yangu si tatizo kama ungekuwa unafanya na mtu yule yule, tatizo linakuja pale unapomkinai mpenzi na kutaka mpenzi mpya kila baada ya muda mfupi na haya magonjwa ya siku hizi basi ni rahisi kugusa mawayawaya. Nadhani zipo dawa za kupunguza libido lakini uwe extra careful zisiondoe hamu kabisa na labda kukuletea matatizo mengine ya kiafya kutokana na negative side effects za hizo dawa. Kila la heri.

Asante kwa niaba yake.
Ila yeye ni kwamba huwa kama kuna amri itokayo ndani ya moyo wake ambayo hupelekea kunyegeka na kuwaza ngono 24/7.
Au karogwa!
 
Shaka ya nini Madame B? Wewe njoo tu upate tiba. Tena uje tu na huyo rafikiyo.

Anayeumwa ni rafiki yangu Hamisi, sio mimi.
Nitampa ujumbe wako ausome, kisha kesho atakuja yeye mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Si kurogwa na wanawake wengi ndani ya ndoa au mahusiano wanatamani kuwa na hamu kubwa kama hiyo ili waweze kujirusha kwa raha zao na wapenzi wao, ila hapa tatizo ni hilo la kuruka huku na kule kila baada ya muda mfupi.

Asante kwa niaba yake.
Ila yeye ni kwamba huwa kama kuna amri itokayo ndani ya moyo wake ambayo hupelekea kunyegeka na kuwaza ngono 24/7.
Au karogwa!
 
Vipi unafikishwa?kama hufikishwi ni PM nkupe maelekezo mana inawezekana wanakuachia njiani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Si kurogwa na wanawake wengi ndani ya ndoa au mahusiano wanatamani kuwa na hamu kubwa kama hiyo ili waweze kujirusha kwa raha zao na wapenzi wao, ila hapa tatizo ni hilo la kuruka huku na kule kila baada ya muda mfupi.

Eti ee BAK, Basi mie nikajua nisharogwa.
Ila hapo unavosema ni kweli, maana huwa kwenye yale masuala yetu,naweza kesha BAK kwa jinsi nilivo na nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom