Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mndele una drama wewe!
Muambie Yesu ni jibu. Akaombewe.
Alternatively achukue pembe la ng'ombe ajifunge kiunoni. BAK malizia ile dose ya kwato.
Asante kwa niaba yake.
Ila yeye ni kwamba huwa kama kuna amri itokayo ndani ya moyo wake ambayo hupelekea kunyegeka na kuwaza ngono 24/7.
Au karogwa!
Yaani ngono 24/7 hana kazi? yeye ni kumega wanawake tu! ingekuwa tamaa tu ningemshauri awe bussy na kazi au kufanya mazoezi sana ingemsaidia kupunguza muda wa kuwaza ngono na kuwa na tamaa.lakini umesema huwa anasikia kuna amri toka ndani hilo litakuwa ni pepo la ngono hapo ni kwenda kuombewa.pole ni wanawake anaowapa dozi loh!.
:doh::doh::doh:Nilijua ni wewe nilikuwa nakuaandalia tiba sasa hivi!:A S wink:Habarini Madokta wazuri na washauri makini wa Jukwaa hili.
Jamani naomba mnisaidie jambo moja nyeti sana.
"Hamu ya Kupenda Sana Kufanya Ngono".
Hii kitu inanifanya nisiweze kudumu na mpenzi mmoja,kwani namkinai mapema.
Sasa nilikuwa nauliza.
1. Ni Ugonjwa au ni hamu zangu tu?
2. Kama ni Ugonjwa,dawa gani itanitibu na kama ni hamu zangu,nitumie nini ili uache kunisumbua?
Jamani niko Serious.
Naomba kama wewe unaijua tiba ya ugonjwa huu au kuna Daktari unamfahamu ambae ataweza nitibu, p'se nisaidie.
Maana ninakoelekea nitaota Sugu, mweee!!!!
Angalizo:
NITAIFUATA TIBA YAKO POPOTE PALE NCHINI TANZANIA
Huyo ni Rafiki yangu kanituma nimuombee Ushauri, maana yeye si member wa JF
Asante kwa niaba yake.
Ila yeye ni kwamba huwa kama kuna amri itokayo ndani ya moyo wake ambayo hupelekea kunyegeka na kuwaza ngono 24/7.
Au karogwa!
Asante kwa niaba yake.
Ila yeye ni kwamba huwa kama kuna amri itokayo ndani ya moyo wake ambayo hupelekea kunyegeka na kuwaza ngono 24/7.
Au karogwa!
Si kurogwa na wanawake wengi ndani ya ndoa au mahusiano wanatamani kuwa na hamu kubwa kama hiyo ili waweze kujirusha kwa raha zao na wapenzi wao, ila hapa tatizo ni hilo la kuruka huku na kule kila baada ya muda mfupi.
Huyo ni Rafiki yangu kanituma nimuombee Ushauri, maana yeye si member wa JF
Unajua kweli ulichokianzisha we Madame B?
Ngoja basi Dr. Ngabu akueleze tatizo lako.
Wewe unasumbuliwa na nymphomania. Mpaka sasa hakuna tiba inayokubalika rasmi, licha ya hivyo, mimi Dr. Ngabu ninafanya utafiti utakaopelekea kupata tiba yake.
Ofisi na maabara zangu zipo hapa Yombo karibu na tambuka reli. Saa zangu za kazi ni kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni, Jumatatu hadi Ijumaa na ninapokea wagonjwa wapya bila rufaa.
Unakaribishwa kwa moyo mkunjufu kabisa na ondoa kimuyemuye kwani mimi ni daktari mzoefu na tiba zangu ni za bei nafuu. Hivyo, hata kama ujira wako ni wa kijungujiko usiwe na shaka.
Karibu sana.
Hamu kubwa sana ya kufanya ngono kwa maoni yangu si tatizo kama ungekuwa unafanya na mtu yule yule, tatizo linakuja pale unapomkinai mpenzi na kutaka mpenzi mpya kila baada ya muda mfupi na haya magonjwa ya siku hizi basi ni rahisi kugusa mawayawaya. Nadhani zipo dawa za kupunguza libido lakini uwe extra careful zisiondoe hamu kabisa na labda kukuletea matatizo mengine ya kiafya kutokana na negative side effects za hizo dawa. Kila la heri.