Mh!
Moyo wangu unapwitapwita Nyani Ngabu.
Rafiki yangu atarudi na roho yake kweli?
Haya, ngoja nikamweleze.
Mndele una drama wewe!
Muambie Yesu ni jibu. Akaombewe.
Alternatively achukue pembe la ng'ombe ajifunge kiunoni. BAK malizia ile dose ya kwato.
Asante kwa niaba yake.
Ila yeye ni kwamba huwa kama kuna amri itokayo ndani ya moyo wake ambayo hupelekea kunyegeka na kuwaza ngono 24/7.
Au karogwa![/QUOTE
.....Ameolewa?.......by the way hizo zinaweza kuwa ni roho ndio zinamfanya awe hivyo...cha msingi hapo ni maombezi....