Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Salam wana jf kuna dem nilimuelewa sana nilivomtokea alinikataa kata hata sikuamin da wadau npo bench kupenda usikopendwa jau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumuonea huruma ila kigezo chako kwanza unataka ujue umri wake?Una miaka mingapi
Akikujibu niiteUna miaka mingapi
Kwani lengo lake ni lipi? kama nikukula tu ampe pesa akule tuPole usilazimishe mapenzi mkuu badae utapata tabu sana hakupendi mwache aende
Swali la msingi sana hilo DemissUna miaka mingapi
Kwani lengo lake ni lipi? kama nikukula tu ampe pesa akule tu
tulia, ipo siku atakufikilia tu, muonge pesa tu, utampasua mda si mrefuSalam wana jf kuna dem nilimuelewa sana nilivomtokea alinikataa kata hata sikuamin da wadau npo bench kupenda usikopendwa jau
hahahaha nimecheka!atapata tabu sana...Pole usilazimishe mapenzi mkuu badae utapata tabu sana hakupendi mwache aende
hahahaha nimecheka!atapata tabu sana...
mimi nakumiss bado !npo mamyHe he acha tu alazimishe hayo mapenzi hatasahau kitakachompata upo mama nilikumiss
mimi nakumiss bado !npo mamy
pamoja mamyAsante mpenzi nimefurahi kukuona