Kupenda usikopendwa

Kupenda usikopendwa

umeandika kama wale wakenya kule KT
 
Sasa kama hakupendi unataka afanyeje sasa? Mapenzi ni hisia unataka akukubalie halaf aje akuumize baadae uje kutuomba ushauri jf.
 
Salam wana jf kuna dem nilimuelewa sana nilivomtokea alinikataa kata hata sikuamin da wadau npo bench kupenda usikopendwa jau
tulia, ipo siku atakufikilia tu, muonge pesa tu, utampasua mda si mrefu
 
Kaza buti uzi ule ule atakuelewa tu kamanda usikate tamaa, mambo mazuri yanahitaji muda.
 
Back
Top Bottom