The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Narafiki yangu yeye amekuwa kila akiwaona wanawake wajawazito anachanganyikiwa, nilijaribu kumshauri ajaribu kuzipuuzia hisia hizo lakini inaonekana anashindwa kwani anasema akingonoka nao anafeel sana kuliko hawa ambao hawana ujauzito, ningeomba mtu mwenye utaalamu atujuze wanajamvi kama je hii ni tabia tuu au ni ugonjwa, na hasa husababishwa na nini, na mwisho anarekebishwaje mtu mwenye tatizo hili.