Kupenda wajawazito ni ugonjwa au tabia?

Kupenda wajawazito ni ugonjwa au tabia?

The Hunter

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
1,049
Reaction score
306
Narafiki yangu yeye amekuwa kila akiwaona wanawake wajawazito anachanganyikiwa, nilijaribu kumshauri ajaribu kuzipuuzia hisia hizo lakini inaonekana anashindwa kwani anasema akingonoka nao anafeel sana kuliko hawa ambao hawana ujauzito, ningeomba mtu mwenye utaalamu atujuze wanajamvi kama je hii ni tabia tuu au ni ugonjwa, na hasa husababishwa na nini, na mwisho anarekebishwaje mtu mwenye tatizo hili.
 
Hivi wanapatikana kiurahisi eeh!, mimi nikiwaona huwa nawaonea huruma kuwatongoza lakini mara nyingi wamejilengesha kuomba hela kwangu na mimi nachukulia kama kumsaidia tu, ila kwa mke wangu nakula as usual.
 
Hmmmmm! Mimi pia huwa na ugonjwa huo lakini si wa kuwatamani kihivyo bali kuwaadmire tu kwa jinsi wanavyopendeza wakiwa wajawazito hasa pale tumbo linapokuwa linaonekana kirahisi.
 
hakuna tofauti na apendae mlango wa nyuma hapo, ni mazoea tu ameshajiwekea akilini mwake
 
ma self mwanamke mjamzito nampenda sana yani nikimwona na madmire sana but mke wangu kwa kweli nakula na akiwa mjamzito nampenda zaidi
 
poleni. yaani wengine wameweka mbegu we nae unaenda kufukua...huyo ni pepo mchafu...kemea!!!!
 
hiyo ni hulka ya mtu ingawa wajawazito huwa na joto zaidi ambalo huwavutia baadhi ya wanaume....binafsi siwapendi coz huwa wana hasira za ajabu
 
kama unataka kuona kazi ya katerero mchukue mjamzito wa kihaya huwa wanatoa maji kama umefungulia bomba unaweza kukinga kisadolini kizima
 
Back
Top Bottom