Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
Haina shida, nataka nifanye maamuzi magumu nikuchukue, angalau uwe unanisaidia kupalilia shambaniKwa umri nilio nao sasa wananigawa bure tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida, nataka nifanye maamuzi magumu nikuchukue, angalau uwe unanisaidia kupalilia shambaniKwa umri nilio nao sasa wananigawa bure tu
bora nizeekee hapa hapa,,ila kulima hapanaHaina shida, nataka nifanye maamuzi magumu nikuchukue, angalau uwe unanisaidia kupalilia shambani
ha ha ha wanasema mali inapatikana shambanibora nizeekee hapa hapa,,ila kulima hapana
sisi wa mjini ndo wanunuzi sasaha ha ha wanasema mali inapatikana shambani
Nataka tuje tuishi wote huku kijijinisisi wa mjini ndo wanunuzi sasa
Nitoke magaga mie akaaaaNataka tuje tuishi wote huku kijijini
Huku kuzuri kuna milio mizuri ya ndegeNitoke magaga mie akaaaa
nikitaka mlio wa ndege naingia googleHuku kuzuri kuna milio mizuri ya ndege
Ukubwa changamotoUtoto Raha sana
Unajua utamu wa chakula kilichopikiwa kwenye chungu?nikitaka mlio wa ndege naingia google
Radha ile ile bwan wewUnajua utamu wa chakula kilichopikiwa kwenye chungu?
Jaribu leo kupikia nyama, ulete mrejeshoRadha ile ile bwan wew
😂😂😂 Sawa utajua mbele majukumu yakichanganyaUkubwa changamoto
Wanasema dunia hii usipojionea huruma hakuna atakayekuonea huruma😂😂😂 Sawa utajua mbele majukumu yakichanganya
Nakupenda totoo🤣🤣🤣Nlivoona notification yako 'quoted' nliclick chapu nlivoona hilo neno la mwisho nkaishiwa maji mwilini
Ngoja nikampigishe mvinyo kwanza, angalau asahau tabu za dunia kwa muda 😀
Ngoja nikapige vyupa na mtoto mzuri, maisha ni haya haya; mbinguni ni hukumu tu