Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hii ingetoka moyoni kesho asubuhi natuma mshenga mchana mahari jioni ndoaNakupenda totoo🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ingetoka moyoni kesho asubuhi natuma mshenga mchana mahari jioni ndoaNakupenda totoo🤣🤣🤣
Unamuoa dada yako totoo? 🙆🙆🙆Hii ingetoka moyoni kesho asubuhi natuma mshenga mchana mahari jioni ndoa
Dada Kwa DNA.....mbaya hiyo🎶Unamuoa dada yako totoo? 🙆🙆🙆
Umesahau tunashare DNA🤣Dada Kwa DNA.....mbaya hiyo🎶
Dada kwa parameters zingine haina shida
Zile za mbali sanaUmesahau tunashare DNA🤣
Acha kutafuta visingizio🤣Zile za mbali sana
Sasa si wewe unabuni sababu ndo maaana mi najiteteaAcha kutafuta visingizio🤣
Umeenda church lakini?Sasa si wewe unabuni sababu ndo maaana mi najitetea
Leo sijaenda! Ijumaa usiku sikulala nikaja kulipiza usiku wa Jana Leo nimeamka uvivu sio uvivu uchovu sio uchovu kiujumla roho iradhi lakini mwili u dhaifu nkashindwa kuwahi ibadaUmeenda church lakini?
Ijumaa ulikesha wapi?Leo sijaenda! Ijumaa usiku sikulala nikaja kulipiza usiku wa Jana Leo nimeamka uvivu sio uvivu uchovu sio uchovu kiujumla roho iradhi lakini mwili u dhaifu nkashindwa kuwahi ibada
Omba nafasi ktk gazeti lolote uwe unaandika story. Upo vizuriNipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko).
Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:-
Mimi: halo
Yeye: mambo vipi bebii
Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko?
Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka tutoke wote
Mimi:Twende wapi?
Yeye: Popote tu utakapotaka
Mimi: Sawa, saa 3 usiku nitakucheki
Yeye: asante mme wangu nakupenda sana
Mimi: Powa,baadaye
Hapa nilipo najiandaa kwa mtoko; msiopendwa, endeleeni kuchezea keyboard.
Kuna jamaangu mmoja alikua anahama room mda wanabeba vitu yy alikaa juu ya mizigo kwenye bumps mizigo ili-shake jamaa akaanguka chini nkapigiwa simu niende nae hospital tukarudi saa tisa/kumi hv.Ijumaa ulikesha wapi?
Oooh! Poleni.Kuna jamaangu mmoja alikua anahama room mda wanabeba vitu yy alikaa juu ya mizigo kwenye bumps mizigo ili-shake jamaa akaanguka chini nkapigiwa simu niende nae hospital tukarudi saa tisa/kumi hv.
Asante Kwa niaba, hata na hvo hakuumia sanaOooh! Poleni.
Unachotaka utapata 😄😄Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko).
Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:-
Mimi: halo
Yeye: mambo vipi bebii
Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko?
Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka tutoke wote
Mimi:Twende wapi?
Yeye: Popote tu utakapotaka
Mimi: Sawa, saa 3 usiku nitakucheki
Yeye: asante mme wangu nakupenda sana
Mimi: Powa,baadaye
Hapa nilipo najiandaa kwa mtoko; msiopendwa, endeleeni kuchezea keyboard.