Kupendwa sana nako ni kero

Kupendwa sana nako ni kero

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Yaani unapendwa eeh, kila saa mtu anahisi wewe hurudishi upendo alionao yeye kwako, mara aone wewe una wanawake wengine duh.

Kupendana kuwe kwa kiasi, vikizidi ni kero, kama hujawahi kupendwa sana huwezi ukaelewa hapa. Kuna muda tunahidtaji ku focus na mambo mengine sio kila saa hivyo tu.
 
Back
Top Bottom