CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kuna sehemu nimejikanyaga hadi najuta, yaani mtu anakuwa kama mimi ndiye nimembikiri kumbe nimemkuta ni single mother niltaka kutoa kutu tu yeye ndiyo amekolea hadi kero. Nafikiria kumpiga tukio ila namuonea huruma atakavyopiga mayowe.Yaani unapendwa eeh, kila saa mtu anahisi wewe hurudishi upendo alionao yeye kwako, mara aone wewe una wanawake wengine duh.
Kupendana kuwe kwa kiasi, vikizidi ni kero, kama hujawahi kupendwa sana huwezi ukaelewa hapa. Kuna muda tunahidtaji ku focus na mambo mengine sio kila saa hivyo tu.