Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

Sikuhizi hili kundi la wapinganyeto, linakuja kwa kasi kwenye mitandao yote.

Nahisi kuna jambo limejificha kwenye hii movement ya wapinganyeto.

Au nawaza kwa akili yangu ndogo, labda wadangaji ndio wapo nyuma ya hii movement ya wapinganyeto. 🤣🤣

Hili kundi la wapinganyeto inabidi lifatiliwe kwa kina.
Hakika mkuu nimeona hadi Ulaya na Marekani wapinga nyeto wamejaa sana kwenye mitandao. Bongo napo wanazidi kuongezeka hasa huko mjini twitter (X)
 
Hili kundi linakuwa kwa kasi mno.

Zamani nilijua kundi la wapinganyeto ndani yake walikuwa wamejificha wale wanaouza dawa za kuongeza nguvu za kiume ndio wapo kwenye hilo kundi ili wauze madawa yao ya kubusti mashine ili mtu apeleke moto zaidi. Ila kwa sasa kundi limekuwa kubwa mno! nahisi kuna watu wengine ambao wamejificha kwenye kundi la wapinganyeto.

Mimi ninawasasipekti wanawake au wanaumewanawake ambao mabao ya kiume ndio chanzo chao KIKUU cha mapato. Kwa hiyo mtu ukijifyatulia tubao twako kwa tumafuta au tusabuni, wao wanakuwa wamekosa hela. Ndio maana wanajiunga na kikundi cha wapinganyeto 🤣🤣🤣.

Inabidi utafiti ufanyike kulijua kundi la wapinganyeto kwa ndani zaidi.
 
Hilo la wanawake kuungana na wanaume wapinga nyeto naanza kuona ni kweli

Sema nini kuna wanetu wanatia nyeto ila wakija kwenye mitandao wanajifanya kuiponda hawa nao wanafanya kundi lizidi kuonekana kubwa 🤔🤔
 
🤣🤣 hao ni wanafiki tu.
Kwa hiyo mkuu. Kwa hiyo list ya kikundi cha wapinganyeto kuna makundi mbalimbali ya watu. Ngoja niweke orodha kabisa

Kundi la wapinganyeto lina watu wafuatao;

1. Wauza dawa za nguvu za kiume.
2. Wanaume (mashoga)
3. Wanawake wadangaji (Direct na Indirect)
4. Wanaume wanaopiga nyeto, ila wanajifanya wanapinga nyeto (wanafiki)

Hii list inabidi iendelee kufanyiwa marekebisho na kuongeza makundi mengine.
 
🤣🤣 hao ni wanafiki tu.
Kwa hiyo mkuu. Kwa hiyo list ya kikundi cha wapinganyeto kina makundi mbalimbali ya watu. Ngoja niweke orodha kabisa

Kundi la wapinganyeto lina watu wafuatao;

1. Wauza dawa za nguvu za kiume.
2. Wanaume (mashoga)
3. Wanawake wadangaji (Direct na Indirect)
4. Wanaume wanaopiga nyeto, ila wanajifanya wanapinga nyeto (wanafiki)

Hii list inabidi iendelee kufanyiwa marekebisho na kuongeza makundi mengine.
Oyaaa hii imeenda 🤣🤣🤣
 
Mweeh! Wapiga nyeto hawana shida na mtu mnawaandama bure tu, hata kama kuna madhara watapata wao pekeyao. Them vs them.
 
Sikuhizi hili kundi la wapinganyeto, linakuja kwa kasi kwenye mitandao yote.

Nahisi kuna jambo limejificha kwenye hii movement ya wapinganyeto.

Au nawaza kwa akili yangu ndogo, labda wadangaji ndio wapo nyuma ya hii movement ya wapinganyeto. [emoji1787][emoji1787]

Hili kundi la wapinganyeto inabidi lifatiliwe kwa kina.
Nakazia[emoji457][emoji457][emoji457]
 
Hawa woote waliofyum hakika ni Masenator wa Nyetto Wengine B'Fassie.😂
dronedrake uoe Sasa.
 
Unaweza kushangaa mke wako ni mhusika wa pili katika nyeto. Jamaa anamla tena kwa mikao katili!.......ndiye jamaa anamtumia kuvuta hisia
 
Back
Top Bottom