Kwenye punyeto kuna jinsia ngapi zinahusika? mimi naona ni moja, wewe nitajie kama kuna ya pili. Alafu pale maumbile sio ya kawaida , je nikisema ni kinyume na maumbile nimekosea wapi?
Wadau,
Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?