KERO Kupigiwa kelele na makanisa

KERO Kupigiwa kelele na makanisa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi.

'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
Hayo ndiyo machaka ya wanasiasa, hawawezi kuwapiga marufuku kisha kesho wanyimwe majukwaa ya kujitafutia kura.
Vilevile, wahusika wengi hatuishi nao huku Madongo Kuinama kwenye kelele, hivyo, hii changamoto si SHIDA ZAO!
 
Back
Top Bottom