KERO Kupigiwa kelele na makanisa

KERO Kupigiwa kelele na makanisa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi.

'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
Hao ni Matapeli! Wakristo wa Kweli Yesu alishawaambia hivi :

Mt 6:7 SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.Na ni Kosa Kusheria kusali au kucheza mziki kwa sauti kubwa. So mna haki ya kuwashtaki .https://www.jamiiforums.com/threads/nemc-msako-wa-wapiga-kelele-uko-pale-pale.2101630/
 
Hao ni Matapeli! Wakristo wa Kweli Yesu alishawaambia hivi :

Mt 6:7 SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.

Washaurini ndugu zenu
 
😂 hapo ni mchungaji na kondoo wake anaowaandaa kuwala.
Kuna moja lilikuwepo mtaani kwetu yaani ukisikia hizo kelele utasema ndani kuna nyomi ya watu,Siku hiyo nikasema ngoja niende nikachungulie maana hizi kelele kama mbuzi ana chinjwa heee kumbe wako watatu kanisani 😁😁😁😁
 
Ndio wanakuwaga hivyo kwenye makanisa yao ya mabati yenye mlango wa gunia.
 
Hii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi.

'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
Umenikumbusha kuna kanisa hapa karibu yangu mkesha ni kila jumamosi yaan show show kuanzia asubuhi mpaka saa 8 usiku kuelekea 9 ndio wanafunga kanisa sio mchezo kabisa kesho hapa maeneo Yesu anakua anapiga misele Muda wote ni Yesu Yesu Muda wote
 
Hii kero ya kupigiwa kelele na makanisa yawakeshaji inatunyima usingizi.

'Sirikali' mliangalie hili jambo. Tumechokaaa
Na wakianza leo Ijumaa hadi Jumatatu alfajiri, Pastor amekusanya sadaka, waumini wako hoi hiyo Jumatatu hawana hata nguvu ya kufanya kazi Jumanne wanaanza upya kutafuta sadaka ya mwisho wa wiki
 
Umenikumbusha kuna kanisa hapa karibu yangu mkesha ni kila jumamosi yaan show show kuanzia asubuhi mpaka saa 8 usiku kuelekea 9 ndio wanafunga kanisa sio mchezo kabisa kesho hapa maeneo Yesu anakua anapiga misele Muda wote ni Yesu Yesu Muda wote
Yesu atakuwa anapiga misele mitaa yenu. Mtoe na moko becha asije kukusahau huko kwao
 
Back
Top Bottom